Wanawake na nywele bandia

usisemee wenzio mkuu wapo ME wanaopenda hizo nywele za marehemu
 
Natamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo wanaume tunachukia kutika kwao ni nywele bandia, asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili
Ikiwa sisi hatuvutiwi na miwigi yenu mwavaa kumvutia nani?
Kuna tatizo kwenye uwasilishaji, kuna sehemu unasema "wanaume tunachukia" halafu unasema tena "asilimia kubwa ya wanaume".
Hueleweki mkuu, unasema wanaume wote au asilimia fulani ya wanaume!?
Rekebisha hapo kisha tutiririke na michango yetu mujarabu kabisa.
 
Back
Top Bottom