Wanawake na nywele bandia


dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Messages
2,075
Likes
1,414
Points
280
dronedrake

dronedrake

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2013
2,075 1,414 280
Kuna wengine wanajaza marangi rangi usoni na mdomoni wanakuwa kama yale madaladala ya Nairobi sijui wanayaita matatuu...!
hahahahahahahaaaaaa, we jamaa phala sana
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
26,813
Likes
16,989
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
26,813 16,989 280
Utafiti unaonesha kuwa wanawake hasa huvaa ghali kwa ajili ya wanawake wenzao, kuwarusha roho au wamuone kuwa yuko juu. Ndio maana wanaume hatujui fashiona za wanawake wala bei ya mavazi yao, bali wanawake wao kwa wao ndio wanao juana. Kwa swala la Nywele bandio hilo ni la kweli kabisa, labda niwaambe wanawake acheni kutoa mapovu, ukweli ni huo kuwa wanaume wengi hatupendi hizo mabo, Pia thamani yenu hushuka na kuonekana haujitambui. Angalau uwe na msambwanda wa maana kidogo ina balance na tutavumilia karaha za veaving kwa ajili ya hilo zigo tu. Sasa unakuka kamdada hakana matako, kiona kama mgomba miguu kama chelewa, sasa angalia kichani kamebeba zio la matakataka ya bandia mpaka kanakua na shepu ya Mwamvuli. Huwa mnatukera sana ggggghhhhhh
Pole kunywa maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zed B

zed B

Senior Member
Joined
Jul 12, 2018
Messages
143
Likes
109
Points
60
zed B

zed B

Senior Member
Joined Jul 12, 2018
143 109 60
Umegusa kunako subiri madongo ila kiukweli wanawake wqnaovaa mawigi wanaboa. Nilimuona wema kipindi kavua wigi nikajua ni mwanamume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B

BekaNurdin

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
1,703
Likes
942
Points
280
B

BekaNurdin

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
1,703 942 280
Mbaya zaidi HARUFU SASA,,,nywele zinatoa HARUFU BALAA,,,KOPE ZA MACHO ndy USIONGEE,,,,kwann LAKINI?kuweni NATURAL WADADA,,,halafu mnasema NGUVU ZA KIUME wanaume ZIMEKWISHA,,,kumbe SABABU NI NYIIE fake women.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia kubwa ya wanawake wanaovaa mawigi wana mapepo aka majini.
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
12,289
Likes
25,726
Points
280
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
12,289 25,726 280
Uko kibandia bandia mother confessor!
Mungu aliwaumba natural kabisa sasa mmeamua kujigeuza kuwa fake!
Eti kibandia bandia😅😩,.una utani na confessor eeh??
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
4,740
Likes
4,236
Points
280
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
4,740 4,236 280
Sio kila kitu mwanamke anafanya kumfurahisha mwanaume
Mengine ni kujifurahisha wenyewe ama kuonyeshana wanawake wenyewe
 

Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,853