Wanawake na msemo wa "Sipendi mwanaume mweupe"

Wanawake na msemo wa "Sipendi mwanaume mweupe"

Natumaini mko salama

Huu msemo unazidi kushika kasi sana mitaani, nimekuwa nikisikia wadada wengi nyakati tofauti tofauti wakidai hawapendi mwanaume mweupe.

Kwa maana nyingine wanatuaminisha sisi weusi ndo tupo kwenye chat.

Cha ajabu hao hao wanawake ukipiga nao picha wataweka kila aina ya filter uonekane mweupe.

Hii imekaaje?
I love white people nawapenda sana yaani wale mashombis hawa au kitu white 😍😍😍🤩🤩🤩 siwapendi black labda wawe mahandsome ila mawhitei love them
 
Wanawapenda kwa ajili ya show off ila sio kitandani
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Inashangaza kwakweli
 
Back
Top Bottom