Wanawake na msemo wa "Sipendi mwanaume mweupe"

Wanawake na msemo wa "Sipendi mwanaume mweupe"

Zamani sio sasa jamani hiyo ya kupenda watoto wazuri sijui nini ilikuwa zamani, miaka hii wanawake wengi wanataka kuzaa na wanaume wenye hela sura atapambana nayo mtoto[emoji1787][emoji1787]kama wadau wanavyosema mchawi ni hela uwe mweupe kama chokaa au uwe mweusi kama mkaa ukiwa na hela utapendwa hata ile fake love
 
Natumaini mko salama

Huu msemo unazidi kushika kasi sana mitaani, nimekuwa nikisikia wadada wengi nyakati tofauti tofauti wakidai hawapendi mwanaume mweupe.

Kwa maana nyingine wanatuaminisha sisi weusi ndo tupo kwenye chat.

Cha ajabu hao hao wanawake ukipiga nao picha wataweka kila aina ya filter uonekane mweupe.

Hii imekaaje?
We tafuta tu gari na hela ya chips mayai, toshaa!
 
Back
Top Bottom