Ila wewe nawe ni mweupe utafikiri chotara la kiarabu.We tafuta pesa , hata uwe mweupe kama papai lililoiva utapendwa tu[emoji23]
Ila wewe nawe ni mweupe utafikiri chotara la kiarabu.We tafuta pesa , hata uwe mweupe kama papai lililoiva utapendwa tu[emoji23]
aaah wala, i am a true definition of an African, kama nimepakaa mkaa vile😂Ila wewe nawe ni mweupe utafikiri chotara la kiarabu.
sasa mkuu sijui umewaza nnNatumaini mko salama
Huu msemo unazidi kushika kasi sana mitaani, nimekuwa nikisikia wadada wengi nyakati tofauti tofauti wakidai hawapendi mwanaume mweupe.
Kwa maana nyingine wanatuaminisha sisi weusi ndo tupo kwenye chat.
Cha ajabu hao hao wanawake ukipiga nao picha wataweka kila aina ya filter uonekane mweupe.
Hii imekaaje?
ishi nao kwa akili mkuu. usipoteze muda wako kuwafuatiliaNatumaini mko salama
Huu msemo unazidi kushika kasi sana mitaani, nimekuwa nikisikia wadada wengi nyakati tofauti tofauti wakidai hawapendi mwanaume mweupe.
Kwa maana nyingine wanatuaminisha sisi weusi ndo tupo kwenye chat.
Cha ajabu hao hao wanawake ukipiga nao picha wataweka kila aina ya filter uonekane mweupe.
Hii imekaaje?
Kisaikologia wewe utakuwa umezaa watoto wabaya.Zamani sio sasa jamani hiyo ya kupenda watoto wazuri sijui nini ilikuwa zamani, miaka hii wanawake wengi wanataka kuzaa na wanaume wenye hela sura atapambana nayo mtoto[emoji1787][emoji1787]kama wadau wanavyosema mchawi ni hela uwe mweupe kama chokaa au uwe mweusi kama mkaa ukiwa na hela utapendwa hata ile fake love
😁😁🤣🤣Achana nao wao wenyewe wanapiga picha wanaweka wekundu yani bila vile vikopa vitatu hawapost
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Here iam 😁🤣🤣🥱Ndio nani huyo[emoji23] mimi napenda mwanaume mweusi
🤣🤣🤣 Wee boyaKuwa makini sana..anataka kukupiga mzinga wa maisha.
Sema nini hawaeleweki wanataka nini mana pia wanapenda kuzaa vitoto vyeupe vizuri..sasa unadhani watazaa na wewe cheusi mangala.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mmoja nlimsikia anasema "wanaume weupe hawana lolote zaidi ya kung'aa kitandan tu"....
Nlichoka hadi maini
Hata wewe unaingia kwenye huu ubaguzi wa rangi rafiki?Hakuna kapicha ka mwanaume kweupe!???