Wanawake na msemo wa "Sipendi mwanaume mweupe"

Wanawake na msemo wa "Sipendi mwanaume mweupe"

Mie pia nimeshawaskia sana ila cha ajabu wakizaa watoto wanawaedit waonekane weupe au wakiona vitoto vyetu vyeupe unaskia mungu nijaalie na mie nipate katoto kama haka napenda vitoto vyeupe nabaki kuwashangaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mbona mimi nawapenda sana wanaume weupe
 
Hao viumbe ukiwasikiliza sana utapotea.#We tafuta hela tu ndio dawa yao.
 
Ni wasenge tu labda kwa kuwa wao wenyewe ni weusi hivyo ni wivu.. hv kama kweli hawapendi wanaume weusi mbona wanautafuta weupe kwa gharama na wanapenda sana kuzaa watoto weupe..
Rangi nyeupe ndo tunu ya Dunia.. we kama mweusi tulia usiwekee wivu rangi za watu
 
Wadada weupe wanapenda wakaka weusi na kinyume chake.
Mdada akiwa mweusi naweza kumpata kirahisi sana...kwakua nina karangi fulani.
Ila akiwa mweupe labda niwe na kitu cha ziada kitakacho mteka akili.
Mfano, ucheshi, ukorofi usio dhuru😉😉
na vingine.
 
Wanasema preference yao Ni tall and black, kasheshe ni pale unapojikuta wewe ni huyo mweupe atu mfupiii[emoji848]
 
Natumaini mko salama

Huu msemo unazidi kushika kasi sana mitaani, nimekuwa nikisikia wadada wengi nyakati tofauti tofauti wakidai hawapendi mwanaume mweupe.

Kwa maana nyingine wanatuaminisha sisi weusi ndo tupo kwenye chat.

Cha ajabu hao hao wanawake ukipiga nao picha wataweka kila aina ya filter uonekane mweupe.

Hii imekaaje?
weupe wanalamba sana lips[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jamaa yangu ni Albino ana pesa daily anabadilisha wanawake. Mwanamke hana kauli mbele ya pesa mkuu.
 
Back
Top Bottom