Wanawake na mikopo

Biashara moja pasua kichwa sana. Watanzania wengi hawaoni mikopo kama ni biashara ya wenzao. Nasema mtapata tabu sana.
Nina shares kwenye MF fulani, dah kisanga huwa tunakiona.
 
Bro, msifanye mambo kama hamjui sheria. Matrimonial properties haiwezi kuwekwa rehani kwa mkopo bila upande wa pili wa ndoa kuwa na taarifa na kuidhinisha. Siku mme mmoja akaja kuwafungulia kesi mtalipa vitu vyote.
 
Ni hatari kutoa mikopo kulitaka kunipa UKIMWI vijijini nimekimbilia mjini .

Kaa mbali na walimu wa kike na manesi wa vijijini kwenye mikopo ni tabu tupu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mike wewe ni kichwa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nyie ndio wale bakabaka mnaokopesha kule kibaha mpka misugusugu siku za rejesho mnakimbizana na wakina mama pmj na kutoa vipigo sema nn mnawabembeleza sna wakope wakati mnawajua ni changamoto
siko ukanda huo wa kibaha wa land force au nyumbu ,Niko ukanda mwingine japo sisi kipigo hatutoi manake wagonjwa wengi hatutaki kesi za Bure na maisha Yenyewe matamu haya ...

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Biashara moja pasua kichwa sana. Watanzania wengi hawaoni mikopo kama ni biashara ya wenzao. Nasema mtapata tabu sana.
Nina shares kwenye MF fulani, dah kisanga huwa tunakiona.
hehehee kweli tabu tunaipata aisee japo hela zipo ila wasumbufu Hawa ndo wanataka kututia kitanzi kama CCM

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Bro, msifanye mambo kama hamjui sheria. Matrimonial properties haiwezi kuwekwa rehani kwa mkopo bila upande wa pili wa ndoa kuwa na taarifa na kuidhinisha. Siku mme mmoja akaja kuwafungulia kesi mtalipa vitu vyote.
Hatuwezi Lipa kaka manake sisi tunabeba mali aliyoiweka rehani na kusaini kwenye mkataba ,BOT walishatupa guidelines tunazingatia sana vipengele, huwezi tukakupa hela alafu ukimbie na hela yetu kwanza tu kisheria sisi tunaweza beba zaidi ya mali yako manake unadaiwa laki 4 faini inafika mpaka 2 million unadhani huyo mtu atapata muda wa kukushtaki ukibeba Mali yKe ya laki 8....pia mtu anamikopo zaidi ya 6 hiyo nguvu ya kukushtaki unapata wapi? Sisi sio kama oya au ASA wanaopiga makofi na matusi juu Kwa wateja sisi tuko very strategic pia tushaseti mfumo wa kibepari

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Hujanielewa. Mke kuweka mali za ndani bila mume kujua ni kosa. Mume akibaini na akagoma vitu visitoke au akawashitaki ninyi pia nakuwa mmeingia mkenge.
 
haya njoo nikukumbatie binti yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…