Wanawake na maradhi ya urembo inasikitisha sana

Mbonaa cjawahii ona wazunguu amaa mamiss duniaa wakiwekaa ayoo mauchafuu kaah yani wanavyoo niboaga basi tuu kwelii tz inajanga laa elimuu diii?
 
Mbonaa cjawahii ona wazunguu amaa mamiss duniaa wakiwekaa ayoo mauchafuu kaah yani wanavyoo niboaga basi tuu kwelii tz inajanga laa elimuu diii?

Mkuu, urembo ulianzia kwa hao watu (wazungu na waAsia) kama vile ambavyo dini zimeanzia kwao.
Sisi huku tumeletewa,tumelishwa na tunauwendeleza. Hata hao maMiss world wanaweka sana kope.

By the way urembo ni kama maji(haukwepeki)usipoyanywa basi utayafulia,na usipoyafulia basi utayaoga.
 
MNAHANGAIKA NA NIIIIINI?

hapo bado mkorogo anaopaka haujaanza kubabuka!
hakyanani kuna vitu wacha tu vinifanye nionekane sikwendi na mafasheni!
hizi mambo za kope kope hizi sijui nywee za kubandika sijui wanaita nini sijui za kuvaa kikofia chini na gunDi juu af unapanga nywele !ehehehehhehhe HUWA NAWAANGALIIIAAAAAA NABAKI kucheka tu!KWANZA MNATUMIA HELA NYINGI!
PILI NI HATARI KWA AFYA ZENU
TATU HAZIWAPENDEZI MNAKUWA KAMA VIPAKA VYA KWENYE KATUNI
NNE HAMKUWI NYIE
aaargh bana eeh pengine ndo mnasifiwa na hao washika dau!
Mkuu uzuri unazaliwanao,ila urembo na usafi wa mwili unajipa mwenyewe
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    461.2 KB · Views: 117
  • image.jpg
    image.jpg
    522.8 KB · Views: 113
Haya wadada wa MMU,...mambo ndiyo kama hayo mnavyoyaona...amini nawaambieni urembo umuweka mwanamke juu.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    742.6 KB · Views: 97
  • image.jpg
    image.jpg
    628 KB · Views: 108
  • image.jpg
    image.jpg
    431.3 KB · Views: 104
Mbonaa cjawahii ona wazunguu amaa mamiss duniaa wakiwekaa ayoo mauchafuu kaah yani wanavyoo niboaga basi tuu kwelii tz inajanga laa elimuu diii?
wazungu ndio waaanzilishi, tatizio sio urembo, tatizo ni ubora wa madawa yetu tunayotumia, elimu ya hao wadada wa saluni, na unayeenda kuweka urembo kujua kama una allergy yoyote. Hivyo vitatu vikizingatiwa hakuna tatizo kabisaaaa....
eye.jpg eye1.jpg
 
Huo ni ukweli usopingika...mama yangu anakaribia 70 na anasuka rasta; mi ndio niufanyie sherehe uzee...mwanamke urembo...; natural Bongo na kipilipili...

Sijawahi weka kope lakini nina mpango huo; zikinitoa chicha basi si vibaya kubadilika siku moja moja...; siyo mpaka watu wanakukremu

1.jpeg

Haya wadada wa MMU,...mambo ndiyo kama hayo mnavyoyaona...amini nawaambieni urembo umuweka mwanamke juu.
 
wazungu ndio waaanzilishi, tatizio sio urembo, tatizo ni ubora wa madawa yetu tunayotumia, elimu ya hao wadada wa saluni, na unayeenda kuweka urembo kujua kama una allergy yoyote. Hivyo vitatu vikizingatiwa hakuna tatizo kabisaaaa....
View attachment 125526View attachment 125527
Ahsante! Umeongea kitu cha muhimu sana...thatz why hata mimi nawasisitiza dada zangu wa MMU au mtu yeyote yule anaependa mambo ya urembo kuwa aendapo kufata huduma yoyote salon ajitahidi awe mtu wa kuhoji kabla hajafanyiwa huduma...uwapo salon usiruhusu mwili wako uwe wa majaribio kama vile wewe ni mdoli.

Pia katika huduma za salon hakuna kitengo ambacho mastaff wake wanatakiwa kuwa very serious kama kitengo cha beauty clinic. Kitengo hichi ndiyo kinabeba huduma za Kope,Detoxification,face facial,waxing nk.
 
Back
Top Bottom