Halafu nikajua amekufa ki-ukweli kumbe ni katika series zao tu.Dah pole sana mkuu... usikute ndo mpenzi wa moyo wake huyo pasipo ww kujua!
Wanawake ndo walivyo!
.....Sisi wapenzi wa Isidingo tunajua kinachoendelea......
Ukisoma kwa makini Uzi wangu utaelewa nilijuaje hilo jina lake. Nilipomuuliza ni Frank yupi!? Yeye ndio akanijibu FRANK XAVIER. I am Rational na ndio maana nikaondoka nyumbani kuendelea na shughuli zangu za leo...otherwise angechezea makofi ya kutosha aendeleze na msiba mpaka hapo atakapoanua matanga ya huyo Frank.Ulijuaje Anaitwa Xavier? Halafu Mkuu Nimelog In Ili Kuchangia Hapa Tu. Kifupi Mkeo Yuko Sahihi. Hilo Ndio Lengo La Watunzi Wa Isidingo, Au Fiction Yoyote Ile, Iwe Drama, Action, Horror, Comedy, Etc. Kitendo Cha Kufuatilia Story, Iwe Kwenye Tv, Gazeti, Kitabu Inakufanya Kuzama Na Kuishi Ndani Ya Story Yenyewe Bila Kujali Jinsia. Kuna Story Zinaliza, Zinatisha, Zinahamasisha, N.K. Mi Mwenyewe Ni Critic Sana Ila Nimenasa Kwenye Tamthilia Moja Tv 1 Kiasi Nashindwa Kuacha Kuifuatilia Kila Ikifika Saa 4 Unusu. So Mkuu Be Rational
money talksngoja niGoogle kwanza "FRANK XAVIER" ili nimfahamu kabla ya kurudi tena kuComment hapa
maana kwa sisi tuliozaliwa 90s hiyo tamthilia tunaiona ni kama jibu vilee, maana hatuielewi.. MIIMI NATAKA IFUTWE ALAFU WAWEKE KIPINDI KINGINE HAWA ITV
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hebu niadisie.......imekuaje......
Ni maukwelikweliiii au igizo tu........?.....
Acha tu mkuu....Yaani wife ameniweza sana jana. Nimepiga misimu usiku usiku kusumbua watu. Simu nyingine narudishiwa asubuhi hii kuulizwa kulikoni...nabaki nacheka tu.Wanawake tunaishi nao ila sio wenzetu huyo kama wangu na tamthilia za kifilipino utamkuta analia kabisa au huzuni kubwa utafikiri kafiwa
Ni kimchezo sio kiukweli......
Ilikua inasikitisha wewe