Wanawake na mapenzi yao kwa wagizaji tamthilia

Wanawake na mapenzi yao kwa wagizaji tamthilia

Na nyie mnavyokuwa na mood mbaya zikifungwa timu zenu wengine hadi huduma zinasimama ndani. Usishangae mkuu ni ushabiki tu
Exactly wewe umeongea ukweli. Mwanaume team yake ikifungwa jamani, basi tu wenzetu hawana machozi ya karibu. Mwingine hata usimuongeleshe, au mtanie uone shughuli yake.
 
Ni mtu mzima na ana kazi yake ya maana kwenye hizi taasisi za serikali. Kupenda kuangalia Tamthilia haina maana mtu hana kazi ya kufanya na wala huwa sipingi hilo. Ndio maana kuna wakati nilisafiri na aliniagiza DVDs za tamthilia kutoka huko na nikamletea ikawa furaha kwake. Amefuatilia hii tamthilia tokea kitambo yuko Chuo. Na hata baadhi ya Casts walivyokuja kupanda Mlima Kilimanjaro alienda huko Arusha na rafiki zake na wakakutana nao na kupiga picha. Ila mimi sikujua Kama serious kiasi hicho.
Huyo mkeo ni changamoto, pole
 
Huyo mkeo ni changamoto, pole
Changamoto kwa kuwa anapenda tamthilia!!???? Maana yeye zaidi ya kazini,mazoezini,kwenye shughuli za kifamilia na misiba hana makuu. Sio wanawake wa mashughuli mengi na ndio maana nimedumu nae katika ndoa mwaka wa 20 huu. Siipokei hiyo pole yako..ingekuwa Hongera sawa.
 
Yah......yaani kali mbaya......ipo Zee tv saa moja kamili jioni......imenipunguzia safari za bar vibaya sana.......
Hahaha na mimi naifatilia huku eti. Saloni, urveshi, Tara, Brajesh, Nahar. .....yani ikifika saa 1 sitaki usumbufu
 
Changamoto kwa kuwa anapenda tamthilia!!???? Maana yeye zaidi ya kazini,mazoezini,kwenye shughuli za kifamilia na misiba hana makuu. Sio wanawake wa mashughuli mengi na ndio maana nimedumu nae katika ndoa mwaka wa 20 huu. Siipokei hiyo pole yako..ingekuwa Hongera sawa.
sasa hapo kumbe unamuelewa mkeo, kumbe kipi kilichokushangaza alipomlilia Frank jamani. Haya hongera
 
sasa hapo kumbe unamuelewa mkeo, kumbe kipi kilichokushangaza alipomlilia Frank jamani. Haya hongera
Ukisoma vizuri utanielewa kwenye hilo bandiko langu. Soma kwa makini taratibuuu ili uelewe. Nashauri Uwe na glasi ya Amarula pembeni itakusaidia kuelewa vyema. Kilichonikwaza sio yeye kupenda tamthilia..Bali ni jinsi alivyonifikishia hiyo taarifa ya msiba na kuniacha kwenye hali ya sintofahamu usiku kucha.
Nashukuru kwa Hongera.
 
aaaaah! mie sio muumini wa hizo makitu, ila nshakuelewa. Usijali kila mtu kuna kitu anachopenda zaidi ndo maana aliumia kiasi hicho!!
 
Hahaha na mimi naifatilia huku eti. Saloni, urveshi, Tara, Brajesh, Nahar. .....yani ikifika saa 1 sitaki usumbufu

Ila Urvash ataipata fresh......mahali alipofikia hachomoki......kaundiwa zengwe la haja......Ila yule kuki kaki nae sijui ilikuwaje......pale palinipita.......
 
kuna jamaa mmoja alirudi akamkuta wife wake anaangaalia muvi yakibongo alaf analia kumuuliza nn kinachomliza, et kisa muvi inasikitisha sana, bhas jamaa alichokifanya akachampa makofi matatu ili aendelee kulia vizuri.
huyu nae hakua na akili
 
Ila Urvash ataipata fresh......mahali alipofikia hachomoki......kaundiwa zengwe la haja......Ila yule kuki kaki nae sijui ilikuwaje......pale palinipita.......
Nilichekaaaaaa Urvash alivyotaka kumpiga picha saloni (chirmi) , afu chirmi akamwambia itabid ampe hela but kwa kua hakuwa na hela ikabidi avue viatu.
mwenzio na ufukunyuku wangu nikajifanya kugoogle google nijue mbele saloni itakavyokuwa. Daah ngoja nisikukate stimu, mwisho wake hovyooooooooooooo

Kuki kaki ndo aunt yao kina nahar eeh? Kuna siku alipokea bank statements za Urvash ikaonekana kama kiasi kikubwa cha hela kinatumww kwenye account yake Stella, afu alikuwa na CD nafikiri ina mazungumzo yake na Urvash (aligundua kuhusu mtoto wa Tara na Brajesh alipo). Akataka adeal na Urvash ili aondoke pale home na yeye abaki na mumewe, ila mwenzie Urvash akamuwahi, wakampeleka kwenye jengo huko wakamtesa na yule shibu sijui afu wakasingizia aliiba Vito vya Urvash akawa anatoroka ndo kupata ajali njiani. So walimtengenezea ajali
 
kuna jamaa mmoja alirudi akamkuta wife wake anaangaalia muvi yakibongo alaf analia kumuuliza nn kinachomliza, et kisa muvi inasikitisha sana, bhas jamaa alichokifanya akachampa makofi matatu ili aendelee kulia vizuri.

Yaani huu sasa ni usenge uliokithiri, kweli kuna sinema za kibongo zenye mvuto? Watu hawajuwi ku-act na wakicheza hizo sinema zenyewe unakuta mtu anaonekana kabisa anaigiza, yaani zinaboa kishenzi.
 
Naona kama alikuwa anamlilia mchepuko wake Frank wa mtaa wa pili na wanapokaa, Lakini wife alikuwa smart kugeuza topic.
Wala si mchepuko..ni mapenzi tu kama wanaume wanavyopenda mpira!!!
Hata mimi pamoja na kwamba nilikua na prior information kwamba Frank ataondoka Isidingo lakini ile casting ya kifo imeniuma sana!!! Acheni double standard wanaume ushabiki wanawake upuuzi[emoji15] waiiii!?
 
Kumbe na wewe mchepuko wa frank pia[emoji38] [emoji38]
 
Back
Top Bottom