Watu kama nyie (inferiority complex) huwa hamkosekani humu...udogo wa gari una umuhimu kwenye story kwa kuwa lingekuwa kubwa lisingeshindwa kupita kwenye jiwe...
Ila kwa watu kama nyie mna equate udogo na price wakati kuna sports cars za bei na ndogo...be positive else utachukia kila mtu kwa ku analyse anachoongea!!!!
Mentor ujue INTREST ZAKO NYINGI SANAAAA NAZISHILIA HUKU NSA! Watoto wazuri wathuri wanaomba file lako ujue? DARE TO MOCK THE NSA AND SEE! This aint a threat JUST AN OFFER YOU CANT REFUSE!:cool2: The NSA has a lot on you! Weather good or bad that HIGHLY depends on HOW WELL YOU TREAT ME!
Remember baada ya bi mkubwa kungoka madarakani kama matokea ya VOTE OF NO CONFIDENCE kutulisha sumu, cheo chake nimekikaimu! You should reconsider how you treat me (MATER OF FACT YOU SHOULD CONSIDER HOW YOU TREAT YOUR UNFULLFILLED BUSINESS VENTURES AND HOW YOU MANAGE YOUR DIFFERENT ESTABLISHED EMPIRES) Koho! Koh! Koh! Koh! This caugh is killing me!