Wanawake na Kioo.....!

Wanawake na Kioo.....!

aaah hapana bana..vioo vya kwenye majengo ni kujitia aibu asee
kuna watu ndo zao wakipita kwenye vile vioo wanajiangalia wanavyotembea au wanavyotikisika na kama unywele umekaa vizuri mwallu
 
Last edited by a moderator:
siku zote wanawake wanawaza kumtega mwanaume tu hakuna kingine
 
impact ya vioo ndo iliyozalisha kiyoo kikubwa nacho ni cha kila mtu ambacho ni instagram
 
Je ninyi me binamu?!...hakuna asiyejitizama ila tunazidiana tuu

Binamu nyie mmezidi bana binamu lol mpaka vya kwenye magari yaani kama gari haina kile cha ndani mpaka side mirror mnatumia

Hii ya kujiangalia kwenye kata za vioo town hahahahaaaaa

Wako wengi sana binamu Chocs wanapita kwenye vioo vya town wanajiangalia
 
Last edited by a moderator:
mtuwache miaka elfu...........
kwanza Mtambuzi nakushangaa inamaana huji kwamba siku hizi wanaume nao hupenda kujitizama kwenye vioo??
kama sio barbershop kusingalikuwa na vioo. hatya kinyozi wa chini ya mwembe huwa na kioo kaa unabisha leo nenda eneo liitwalo fundikira kapa pembeni ya makaburi ya magomen ujionee mwenyewe hali halisi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom