Wanawake na Kioo.....!

Wanawake na Kioo.....!

kweli sie wanaume tuna weakness!

pamoja na wanawake kutojiamini koooote, bado na sie hatujiamini tunapokutana nao for the first time incase you feel love..
 
nahisi aliyetengeneza kioo ni freemason kabisa...

kuna watu wameshaathirika na vioo!!

haiwezekani saa nzima wewe uko kiooni tu!
 
Back
Top Bottom