afande pande
Member
- Oct 2, 2015
- 85
- 15
Umetisha jombaaaa!ila kuna kosa umefanya.out Mara nne hujala mzigo?wengi hawasemagi,unapiga mitama tu
Na mtumie "uanaume".... We mwanamke ana kujibu ana mtu unapanic, sa unapanic nini ana mtu kwani we mdudu? Hadi tuwape mbinu za kututongoza? Mfyuuu kama hamuwezi mtulie tuwatongoze sasa sio kuleteana mambo ya kiboya boya
huwa na chukia sana demu wangu akiniambia upuuzi kama huo et just a nomal frend fyuuuuuuuuuha ha ha haha ha just a friend.. its not exist between man and woman.. never
yap hakaki hakuna kitu ka icho.ha ha ha haha ha just a friend.. its not exist between man and woman.. never
normal friend hakunaga wataombana tu mchezoyap hakaki hakuna kitu ka icho.
huwa na chukia sana demu wangu akiniambia upuuzi kama huo et just a nomal friend fyuuuuuuuuu
normal friend hakunaga wataombana tu mchezo
halafu utasikia shetani kanipitia .. ha haha mnaambiwa ikimbie zinaaa watu wanakimbilia zinaaaa..... shetani kakushika miguu au wakati anakupitia kwa nini ukumbananisha na yeye akaliwaMiss chagga,limoyo langu limekudondokea!njoo pm tafadhari
Noma tsana,,,hahahShemeji,
Enzi zileee wakati bhado naranda randa nlikuwa sio mtu wa kukatishwa tamaa na kauli kama hii eti nna mtu wangu,
teh teh unamtu wako tutabanana na huyo mtu wako, akuache nkuchukue jumlaa...
Kuna mtu anaeza kukwambia yupo inrelation, but stil bhado anatafuta mtu wa maana zaidi na aliyenae,
Kama unanikataa nikatae kwa sababu nyingine,
Mwanamke hawezi kuwa sirias kukwambia nakupenda pia mimi ila nina mtu wangu, hivi kama unamtu kwanini umpende mtu mwingine? Hapo huwa naforce king tuu.....lazima mwenye mali yake aage...
Huyu jamaa mtongozaji bado ni old school katika kutongoza!!! Paka sasa hivi bado tunatumia style ya kusubiri majibu? Yes au no...
Huyo dada mpe muda tuu, mpe ma care ya kutosha, mfanyie yaliyo mazuri zaidi...mteke kisaikolojia
Kisha mpe mda ajipime mwenyewe kwa huyo aliye naye na wewe nan zaidi?
Acha kuchezea fulsa, kijanaaa...siku hizi kupata single ladies ni ngum, lazima uvunje bond ya mtu
we can just be friends😀😀
Napesa unipeeee teeeh
Labda anataka kuwa friends with benifits
no kiss in public
no hugs in public
no jealous in public
no questions in public
sex only....!!
Uwa una niacha hoi ' let us be friends only'
Hivi karibuni nimepata msichana Mpya baada ya yule Wa kwanza kunisumbua kwa kupenda pesa kuliko maelezo na ukatokea ugomvi mwisho tukashindwana
Sasa nikapata msichana Mpya, tumetoka outing Mara mbili tatu nne hivi katika wiki chache zilizopita, katika outing hizo nikamuomba awe wangu, kwamba Nina nia njema nae, akasema nisubiri, niwe mvumilivu atanijibu, katika kuongeza ushawishi nikaanza kumuita hny, baby na kadhalika maana dalili zote zilionesha kwamba kuna jibu la ndio linakuja, maana tukiwa beach tulishikana mikono na kukaa kama wapenzi except kissing ndio hatukufanya
Ikafika pahala nikalazimika kuwa serious kidogo kuhusu majibu yangu, nikasema nahitaji kujua nimekubaliwa au la hatuwezi kuendelea namna hii, akajibu kuwa ana mtu wake ila kama vipi we can just be friends, nikamwambia sawa ila na Mimi Nina sharti moja katika hiyo being normal friends, nikamwambia katika hiyo friendship hakuna kuombana pesa, ikifika wakati una shida utamuomba mtu wako
Nikamuona kawa mdogo akasema ina maana wewe huwezi kusaidia mtu? Nikamwambia kusaidiana inakua upande mmoja tu? Kwangu kwenda kwako?
Kwa kuwa ww una mtu wako na mm itabidi nitafute Wa kwangu ndie huyo nitakua namsaidia kama sijampata nitawapa hata wadogo zangu Wa kike wao pia wanahitaji pesa, tangu siku hiyo akakata mawasiliano hadi alipoibuka tena Jana na proposal Mpya kwamba kama vipi tunaweza kuendelea na uhusiano ila kichwani nijue ana mtu wake
Ilibidi nimuulize kama ana akili timamu au la?
Yaani mm niwe spare tyre?
Nimegundua hakuna kitu kama "" we can just be friends"" kauli hiyo inatumiwa na akina Dada kama pango la wanyanganyi la kupigia mizinga na ndugu zangu msikubali mtego huo, kama ana mtu wake atembee mbele, nilikwambia mm nahitaji marafiki wapya? Nilio nao wote hao hawatoshi? Urafiki Wa kawaida halaf kila siku unakuja na shida!!!
Sasa nimeshtukia huo mtego ndio unakuja kudai tunaweza kuwa wapenzi kwa siri ila mtu wako asijue, Mimi? Yaani mm mwanaume mzima makamo Haya niwe mpenzi wako Wa pembeni?
Nonsense