Wanawake na dhana ya "we can just be friends

''..... We can't be friends, if we can't be lovers.... we can't be friends, coz am still in love with you........................''
By Mary J. bli.... feat. ...... BAK please do the needful of this songi la long time, hii thread imenikumbusha wakati naachana na boyfriend wangu wa kwanza, nilimpenda sana ila nilikuwa sitaki kuliwa mzigo jamaa anataka kula kitumbua. Enzi hizo niko sekondari tukagombana mwisho tukaona tuachane kuwa we are no longer lovers na akaniambia atakuwa ananiona kama dada yangu, mie nikasema sawa. Baadae akasema we cant be friends if we cant be lovers looh, alinipatia akanila kitumbua hivihivi.
Kwa umri huu ulivoenda saa hizi can be just friends na mwanaume without strings attached, maana ya kuwa najigharamia mwenyewe kila kitu issue inakuwa ni issue ya just friends for maongezi, company, story za hapa na pale, kushauriana na kupeana mawazo chanya.
Mtoa mada huyo ulikutana na mschana na wewe kama umejiona mtu mzima hivyo na umri huo huwezi kuwa spare tyre basi tulia na njia kuu yako.
Kasie.

Missing you!
 
Last edited by a moderator:
...Kuomba jibu miaka hii, na uzee wangu siombi jibu kwa kweli.
...We can just be friends, kwangu lina maana nitakula mzigo, hata ukichelewa kula lakini utakula tu, uwe mpole.
...maongezi yahusuyo pesa sio rafiki katika stage hiyo, tumia tricks to keep her around, as a friend...baada ya mda utaona kama kweli ni urafiki wa kaka na dada au wa kuvuana!!
 
Hivi karibuni nimepata msichana Mpya baada ya yule Wa kwanza kunisumbua kwa kupenda pesa kuliko maelezo na ukatokea ugomvi mwisho tukashindwana

Sasa nikapata msichana Mpya, tumetoka outing Mara mbili tatu nne hivi katika wiki chache zilizopita, katika outing hizo nikamuomba awe wangu, kwamba Nina nia njema nae, akasema nisubiri, niwe mvumilivu atanijibu, katika kuongeza ushawishi nikaanza kumuita hny, baby na kadhalika maana dalili zote zilionesha kwamba kuna jibu la ndio linakuja, maana tukiwa beach tulishikana mikono na kukaa kama wapenzi except kissing ndio hatukufanya

Ikafika pahala nikalazimika kuwa serious kidogo kuhusu majibu yangu, nikasema nahitaji kujua nimekubaliwa au la hatuwezi kuendelea namna hii, akajibu kuwa ana mtu wake ila kama vipi we can just be friends, nikamwambia sawa ila na Mimi Nina sharti moja katika hiyo being normal friends, nikamwambia katika hiyo friendship hakuna kuombana pesa, ikifika wakati una shida utamuomba mtu wako

Nikamuona kawa mdogo akasema ina maana wewe huwezi kusaidia mtu? Nikamwambia kusaidiana inakua upande mmoja tu? Kwangu kwenda kwako?
Kwa kuwa ww una mtu wako na mm itabidi nitafute Wa kwangu ndie huyo nitakua namsaidia kama sijampata nitawapa hata wadogo zangu Wa kike wao pia wanahitaji pesa, tangu siku hiyo akakata mawasiliano hadi alipoibuka tena Jana na proposal Mpya kwamba kama vipi tunaweza kuendelea na uhusiano ila kichwani nijue ana mtu wake
Ilibidi nimuulize kama ana akili timamu au la?
Yaani mm niwe spare tyre?

Nimegundua hakuna kitu kama "" we can just be friends"" kauli hiyo inatumiwa na akina Dada kama pango la wanyanganyi la kupigia mizinga na ndugu zangu msikubali mtego huo, kama ana mtu wake atembee mbele, nilikwambia mm nahitaji marafiki wapya? Nilio nao wote hao hawatoshi? Urafiki Wa kawaida halaf kila siku unakuja na shida!!!

Sasa nimeshtukia huo mtego ndio unakuja kudai tunaweza kuwa wapenzi kwa siri ila mtu wako asijue, Mimi? Yaani mm mwanaume mzima makamo Haya niwe mpenzi wako Wa pembeni?

Nonsense

ahaaaaa yaani kama vile nakuona nimekosa pic yako tu. Poleee ndo maisha ungekubali kuendelea nae ningejitolea garama upimwe akiri. Wadada tuna mambo kumiliki wnaume wawili???? Ni sheeeda
 
...Kuomba jibu miaka hii, na uzee wangu siombi jibu kwa kweli.
...We can just be friends, kwangu lina maana nitakula mzigo, hata ukichelewa kula lakini utakula tu, uwe mpole.
...maongezi yahusuyo pesa sio rafiki katika stage hiyo, tumia tricks to keep her around, as a friend...baada ya mda utaona kama kweli ni urafiki wa kaka na dada au wa kuvuana!!

My ex darling huyooo, kama ulivyoninasa aisee hadi leo hata sijuagi ilikuwaje nikakuvulia!
 
''..... We can't be friends, if we can't be lovers.... we can't be friends, coz am still in love with you........................''
By Mary J. bli.... feat. ...... BAK please do the needful of this songi la long time, hii thread imenikumbusha wakati naachana na boyfriend wangu wa kwanza, nilimpenda sana ila nilikuwa sitaki kuliwa mzigo jamaa anataka kula kitumbua. Enzi hizo niko sekondari tukagombana mwisho tukaona tuachane kuwa we are no longer lovers na akaniambia atakuwa ananiona kama dada yangu, mie nikasema sawa. Baadae akasema we cant be friends if we cant be lovers looh, alinipatia akanila kitumbua hivihivi.
Kwa umri huu ulivoenda saa hizi can be just friends na mwanaume without strings attached, maana ya kuwa najigharamia mwenyewe kila kitu issue inakuwa ni issue ya just friends for maongezi, company, story za hapa na pale, kushauriana na kupeana mawazo chanya.
Mtoa mada huyo ulikutana na mschana na wewe kama umejiona mtu mzima hivyo na umri huo huwezi kuwa spare tyre basi tulia na njia kuu yako.
Kasie.

Heshima yako dada Kasinde
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada umelikoroga mwenyewe mzigo ulishakubali huo, mademu wana aibu hawawezi kusema nimekubali moja kwa moja hiyo ya kwamba ana mtu ni zuga tu ili akucheleweshe akiwa anakuchunguza. Jaribu kuwa mvumilivu wewe umempenda yeye anatakiwa akusome kwanza ndio akubali mkuu

Mtu mpk anakubali kutoka na wewe out na vitu vyote hivyo maana yake ni yes ningekuwa mimi bado kijana (natongoza kitoto toto kama wewe) wala nisingeuliza jibu ningekuwa nafanya mipango ya kumega sasa hivi maana jibu la YES lilishatoka tangu siku ulipoambiwa we can just be friends.

hebu ni-pm nikufundishe jinsi ya kumalizia ilo zigo.

Zigo tayari hilo na mpk amerudi maana yake ni big yes usiogope kuchunwa ni sehemu ya mapenzi, duniani mapenzi hayapatikani bure ndio maana hata jogoo akitaka kupanda kukujike anamwitia chakula kwanza.
 
Umeshafanya kitu kinaitwa capacity development kk kaz kwake
 
mie hii kauli huitumia pale ninapohitaji muda zaidi wa kukufahamu hasa unapokuwa na haraka sana ya kuhitaji mahusiano na mimi.
 
Amini kwamba wanawake wengi huitumia kauli hiyo kutafuta namna ya kuwapanga wanaume kwenye foleni, na pia kukuzubaisha mwanume wakati huo akiendelea kukuchuna, ndio maana wakati anadai we can just be friends hapo hapo anakuomba pesa, sasa utamuombaje pesa mtu ambae unataka awe normal friend

In fact kauli hiyo ya we can just be friends hutuchukiza wanaume asilimi tisini na hatupendi kuisikia kabisa, binti akinitajia hiyo kauli nakata mawasiliano kabisa, akija kukugundua ananihitaji ndipo anaanza kujipigisha simu
 
nooo sio wote hufanya hivyo bwana, wengine tunaitumia kupima hali ya upepo na kutaka kupeana nafasi tufahamiane vzr na itatufanya tuongeze ukaribu zaidi ya ule ulokuwepo awali.
 
The biggest mistake umefanya ni kutokukubali kua spea tairi.

Unakubali for a while, ukishapakua asali unakua mbabe na kuintroduce rules mpya ambazo zitamfanya aachane na huyo mtu wake na wewe unakua mtu.

Kwangu mimi ningekubali hiyo proposal mpya kisha baada ya kula asali nabadili contractual terms za kumeliminate huyo mtu wake.
 
Back
Top Bottom