Wanawake na dhana ya "we can just be friends

Wanawake na dhana ya "we can just be friends

The biggest mistake umefanya ni kutokukubali kua spea tairi.

Unakubali for a while, ukishapakua asali unakua mbabe na kuintroduce rules mpya ambazo zitamfanya aachane na huyo mtu wake na wewe unakua mtu.

Kwangu mimi ningekubali hiyo proposal mpya kisha baada ya kula asali nabadili contractual terms za kumeliminate huyo mtu wake.

Nimeipenda hii,..
Baada ya kumtoa ungekaa wewe halafu siku ningekutana nae ningekua spare then ningekueliminate wewe au sio!?
Ukabaki unaugulia umivu haaaahaaah
 
Wa kwangu alianza na kauli hyohyo(ilinichukiza) ,nikawa nafanya tabia ya kumeet nae tena bila appointment(nilikua namshtukiza kwao)...tukawa tunameet mida ya night,i was treating her as my lover ingawaje sikuwa confirmed nilifanya vile kama one week hv then nikakata mawasiliano nae na nikapotea kabisa machoni pake akajikuta ananimis sana mda c mrefu nikawa nimeteka concentration yake nikamuita getho akaja akajikuta amelambwa by the way 2kawa lovers kwa mtindo huo ,na mpaka leo hasikii haambiwi kwahyo majibu kama hayo ni kawaida kwa hawa viumbe.
 
nooo sio wote hufanya hivyo bwana, wengine tunaitumia kupima hali ya upepo na kutaka kupeana nafasi tufahamiane vzr na itatufanya tuongeze ukaribu zaidi ya ule ulokuwepo awali.

Jina lako limenikumbusha ile bakulutu ya...nyakoo nyakooo nyako nyako konyaaaaaa....
 
My ex darling huyooo, kama ulivyoninasa aisee hadi leo hata sijuagi ilikuwaje nikakuvulia!
Najua ulijiuliza lakini hadi leo huna jibu, eti tuwe marafiki, mbona nilikubali..teh, mwisho wake ukanipa..
 
Wanaume yani kama hamjui hii kitu inaboa sana na kuwapunguzia credit "kuomba jibu kama umekubaliwa" inaboa sana mtu anaekupenda, anaekukubali, ambae yupo tayari kuwa nawe, yupo tayari kukupa tu hata kama ana mtu...utamjua tu kwenye maongezi acheni kuwa mnaomba majibu hilo tongozo la kizee bana

eti eeh.... lugha hiyooo vijana bado hatujaijuaa..
 
watu bwana we can just be a friend kuna ubaya gani hapo, nawe ulipaswa umsapoti vizur tuu, ili mwisho wa siku unakula dodoo maana madem hawezi kukwambia yupo single wote wana watu wao.
 
Wanaume yani kama hamjui hii kitu inaboa sana na kuwapunguzia credit "kuomba jibu kama umekubaliwa" inaboa sana mtu anaekupenda, anaekukubali, ambae yupo tayari kuwa nawe, yupo tayari kukupa tu hata kama ana mtu...utamjua tu kwenye maongezi acheni kuwa mnaomba majibu hilo tongozo la kizee bana
Hahaaaaa....tena la kizamani kweli,eti nipe jibu kama nimekubaliwa khaaaa..mapenzi yanakuja naturaly.
 
we ulikuwa serious sana ndio tunarudi palepale kuwa wapenzi si lazima utongoze sna upewe jibu....humo humo ungemdatisha ungekula na mchezo angekuwa na mpenzi wako af ye na huyo jamaa mwingine ndio angechagua...hakuna mtu hana mtu awe si rasmi awe wa tatu au mpenzi wa puili au hana ila anaweza chepuka.......so hapo umebugi kidogo huyo haitaji kukupa majibu serious huyo ni hizo outing care tu zinamfanya datate kwako na nndio maana kakuambia uwe spare....kuwa makini
 
Nimeipenda hii,..
Baada ya kumtoa ungekaa wewe halafu siku ningekutana nae ningekua spare then ningekueliminate wewe au sio!?
Ukabaki unaugulia umivu haaaahaaah

Ukishakua eliminated ndio inakua once and for all.

Yaani naweka rules ngumu ambazo kwa hali yoyoye huwezi kusavive tena kwake.

Chances za spare tairi huwa nazitamani sana na ndio huwa zinanipa watoto wakali mjini.

Katika hali ya kawaida sio rahisi kupata mtoto mzuri yuko single, sasa ukiwa unamtaka lazima ukubali kua spare vinginevyo uwe kwenye friends zone au uwe kama fisi ukingoja mkono udondoke uudake.
 
Hivi karibuni nimepata msichana Mpya baada ya yule Wa kwanza kunisumbua kwa kupenda pesa kuliko maelezo na ukatokea ugomvi mwisho tukashindwana

Sasa nikapata msichana Mpya, tumetoka outing Mara mbili tatu nne hivi katika wiki chache zilizopita, katika outing hizo nikamuomba awe wangu, kwamba Nina nia njema nae, akasema nisubiri, niwe mvumilivu atanijibu, katika kuongeza ushawishi nikaanza kumuita hny, baby na kadhalika maana dalili zote zilionesha kwamba kuna jibu la ndio linakuja, maana tukiwa beach tulishikana mikono na kukaa kama wapenzi except kissing ndio hatukufanya

Ikafika pahala nikalazimika kuwa serious kidogo kuhusu majibu yangu, nikasema nahitaji kujua nimekubaliwa au la hatuwezi kuendelea namna hii, akajibu kuwa ana mtu wake ila kama vipi we can just be friends, nikamwambia sawa ila na Mimi Nina sharti moja katika hiyo being normal friends, nikamwambia katika hiyo friendship hakuna kuombana pesa, ikifika wakati una shida utamuomba mtu wako

Nikamuona kawa mdogo akasema ina maana wewe huwezi kusaidia mtu? Nikamwambia kusaidiana inakua upande mmoja tu? Kwangu kwenda kwako?
Kwa kuwa ww una mtu wako na mm itabidi nitafute Wa kwangu ndie huyo nitakua namsaidia kama sijampata nitawapa hata wadogo zangu Wa kike wao pia wanahitaji pesa, tangu siku hiyo akakata mawasiliano hadi alipoibuka tena Jana na proposal Mpya kwamba kama vipi tunaweza kuendelea na uhusiano ila kichwani nijue ana mtu wake
Ilibidi nimuulize kama ana akili timamu au la?
Yaani mm niwe spare tyre?

Nimegundua hakuna kitu kama "" we can just be friends"" kauli hiyo inatumiwa na akina Dada kama pango la wanyanganyi la kupigia mizinga na ndugu zangu msikubali mtego huo, kama ana mtu wake atembee mbele, nilikwambia mm nahitaji marafiki wapya? Nilio nao wote hao hawatoshi? Urafiki Wa kawaida halaf kila siku unakuja na shida!!!

Sasa nimeshtukia huo mtego ndio unakuja kudai tunaweza kuwa wapenzi kwa siri ila mtu wako asijue, Mimi? Yaani mm mwanaume mzima makamo Haya niwe mpenzi wako Wa pembeni?

Nonsense

Mkuu una undugu na w.a.p.a.re?
anyway nlikua nashajihisha tu.
Fact ni kwamba kuna baadhi ya mabinti hawajui kitu wanachotaka maishani, wa aina hio ndo ambao anaweza kuongea kitu ambacho hakikuingii akilini,mi nilidhani anakuambia muwe marafiki tu wakati anaendelea kukufahamu zaidi ili akupe jibu ambalo ni sawia kabisa,kwa maana rahisi hapo hamna mtu chapa lapa mkuu huyo ni mchumia tumbo atakupa stress bure!
 
Dooh we can just be a friend, while ur utilizing my resources and protecting yours , urafiki gani wa Mshumaa kumulikia mwenzako wakati una teketea ...,,,,
 
Kabla sijaoa nilikutana na Kisa kama hiko chako ila hongera umefanya maamuzi sahihi hata me nilifanya hivyo safi sana utafanikiwa maishani kwa kuwa unajielewa
 
Eti we can be just friends, nenda kawe friend na kaka ako huko na umuombe pesa hizo.
 
Back
Top Bottom