Wanawake na dhana ya "we can just be friends

Wanawake na dhana ya "we can just be friends

Eh bhana mkuu baptiste nakubaliii,hamna haja ya kumbembeleza chura.Akizingua unamtoa nishai tu!
 
Last edited by a moderator:
We can be friends inawezekana sana tu.....

Ila sema hiyo dhana haipo kwa huyo msichana ulokuwa nae.....

Na inaonyesha shida yake ni pesa zako inawezekana ulitumia wakati wa tongozo ndio maana na yeye hataki kuzikosa.....


Akina kaka mnapotongoza usijiweke kinadikini lakininusitumie oesa kama silaha....utawekwa friend zone au ufanywe zombie

Mpendwa, let me be your friend.
 
Hivi karibuni nimepata msichana Mpya baada ya yule Wa kwanza kunisumbua kwa kupenda pesa kuliko maelezo na ukatokea ugomvi mwisho tukashindwana

Sasa nikapata msichana Mpya, tumetoka outing Mara mbili tatu nne hivi katika wiki chache zilizopita, katika outing hizo nikamuomba awe wangu, kwamba Nina nia njema nae, akasema nisubiri, niwe mvumilivu atanijibu, katika kuongeza ushawishi nikaanza kumuita hny, baby na kadhalika maana dalili zote zilionesha kwamba kuna jibu la ndio linakuja, maana tukiwa beach tulishikana mikono na kukaa kama wapenzi except kissing ndio hatukufanya

Ikafika pahala nikalazimika kuwa serious kidogo kuhusu majibu yangu, nikasema nahitaji kujua nimekubaliwa au la hatuwezi kuendelea namna hii, akajibu kuwa ana mtu wake ila kama vipi we can just be friends, nikamwambia sawa ila na Mimi Nina sharti moja katika hiyo being normal friends, nikamwambia katika hiyo friendship hakuna kuombana pesa, ikifika wakati una shida utamuomba mtu wako

Nikamuona kawa mdogo akasema ina maana wewe huwezi kusaidia mtu? Nikamwambia kusaidiana inakua upande mmoja tu? Kwangu kwenda kwako?
Kwa kuwa ww una mtu wako na mm itabidi nitafute Wa kwangu ndie huyo nitakua namsaidia kama sijampata nitawapa hata wadogo zangu Wa kike wao pia wanahitaji pesa, tangu siku hiyo akakata mawasiliano hadi alipoibuka tena Jana na proposal Mpya kwamba kama vipi tunaweza kuendelea na uhusiano ila kichwani nijue ana mtu wake
Ilibidi nimuulize kama ana akili timamu au la?
Yaani mm niwe spare tyre?

Nimegundua hakuna kitu kama "" we can just be friends"" kauli hiyo inatumiwa na akina Dada kama pango la wanyanganyi la kupigia mizinga na ndugu zangu msikubali mtego huo, kama ana mtu wake atembee mbele, nilikwambia mm nahitaji marafiki wapya? Nilio nao wote hao hawatoshi? Urafiki Wa kawaida halaf kila siku unakuja na shida!!!

Sasa nimeshtukia huo mtego ndio unakuja kudai tunaweza kuwa wapenzi kwa siri ila mtu wako asijue, Mimi? Yaani mm mwanaume mzima makamo Haya niwe mpenzi wako Wa pembeni?

Nonsense

Nimecheka sana!
 
Duh, mkuu wewe una profession hii, umesomea wapi, maana naona unazo strategy ambazo ni applicable..

Mkuu mi nlitongozatongoza nikawa nachinjiwa baharini. Nliporelax sikutongoza tena yani! Namzoea msichana mzuri nashangaa tumeshaingia huko. Ama unamtafuta unayedhani ni wa matawi ya juu unashangaa siku hiyohiyo ushakula na mzigo
 
Wanaume yani kama hamjui hii kitu inaboa sana na kuwapunguzia credit "kuomba jibu kama umekubaliwa" inaboa sana mtu anaekupenda, anaekukubali, ambae yupo tayari kuwa nawe, yupo tayari kukupa tu hata kama ana mtu...utamjua tu kwenye maongezi acheni kuwa mnaomba majibu hilo tongozo la kizee bana
Badala aandae mazingira ya kula mzigo , ye anakomaa na jibu. Ananiuzi yani!!!
Mi naona achinjiwe tu, hakuna namna nyingine
 
Sema kwakuwa tayari ana mtu wake ila hiyo kauli walaaaa isikuogopeshe, akikuambia hivyo ujue anataka mtake things slowly maana inaonekana ulikuwa na haraka sana.

She needed time mfahamiane vizuri ili msije kurupuka kuanzisha mahusiano alafu after 2weeks muanze migogoro isiyo na msingi, so just relax you can just be friends for now.
Maybe aliyenae mambo hayako poa thats why anataka kukupa nafasi, jitose tu mbona wenzako akina sumbai kwao poa tu.

Shemeji,
Enzi zileee wakati bhado naranda randa nlikuwa sio mtu wa kukatishwa tamaa na kauli kama hii eti nna mtu wangu,
teh teh unamtu wako tutabanana na huyo mtu wako, akuache nkuchukue jumlaa...

Kuna mtu anaeza kukwambia yupo inrelation, but stil bhado anatafuta mtu wa maana zaidi na aliyenae,

Kama unanikataa nikatae kwa sababu nyingine,

Mwanamke hawezi kuwa sirias kukwambia nakupenda pia mimi ila nina mtu wangu, hivi kama unamtu kwanini umpende mtu mwingine? Hapo huwa naforce king tuu.....lazima mwenye mali yake aage...

Huyu jamaa mtongozaji bado ni old school katika kutongoza!!! Paka sasa hivi bado tunatumia style ya kusubiri majibu? Yes au no...

Huyo dada mpe muda tuu, mpe ma care ya kutosha, mfanyie yaliyo mazuri zaidi...mteke kisaikolojia

Kisha mpe mda ajipime mwenyewe kwa huyo aliye naye na wewe nan zaidi?

Acha kuchezea fulsa, kijanaaa...siku hizi kupata single ladies ni ngum, lazima uvunje bond ya mtu
 
Last edited by a moderator:
Shemeji,
Enzi zileee wakati bhado naranda randa nlikuwa sio mtu wa kukatishwa tamaa na kauli kama hii eti nna mtu wangu,
teh teh unamtu wako tutabanana na huyo mtu wako, akuache nkuchukue jumlaa...

Kuna mtu anaeza kukwambia yupo inrelation, but stil bhado anatafuta mtu wa maana zaidi na aliyenae,

Kama unanikataa nikatae kwa sababu nyingine,

Mwanamke hawezi kuwa sirias kukwambia nakupenda pia mimi ila nina mtu wangu, hivi kama unamtu kwanini umpende mtu mwingine? Hapo huwa naforce king tuu.....lazima mwenye mali yake aage...

Huyu jamaa mtongozaji bado ni old school katika kutongoza!!! Paka sasa hivi bado tunatumia style ya kusubiri majibu? Yes au no...

Huyo dada mpe muda tuu, mpe ma care ya kutosha, mfanyie yaliyo mazuri zaidi...mteke kisaikolojia

Kisha mpe mda ajipime mwenyewe kwa huyo aliye naye na wewe nan zaidi?

Acha kuchezea fulsa, kijanaaa...siku hizi kupata single ladies ni ngum, lazima uvunje bond ya mtu

Nilikua sijui kutongoza.. Leo nimejua,, am ready to Go
 
''..... We can't be friends, if we can't be lovers.... we can't be friends, coz am still in love with you........................''
By Mary J. bli.... feat. ...... BAK please do the needful of this songi la long time, hii thread imenikumbusha wakati naachana na boyfriend wangu wa kwanza, nilimpenda sana ila nilikuwa sitaki kuliwa mzigo jamaa anataka kula kitumbua. Enzi hizo niko sekondari tukagombana mwisho tukaona tuachane kuwa we are no longer lovers na akaniambia atakuwa ananiona kama dada yangu, mie nikasema sawa. Baadae akasema we cant be friends if we cant be lovers looh, alinipatia akanila kitumbua hivihivi.
Kwa umri huu ulivoenda saa hizi can be just friends na mwanaume without strings attached, maana ya kuwa najigharamia mwenyewe kila kitu issue inakuwa ni issue ya just friends for maongezi, company, story za hapa na pale, kushauriana na kupeana mawazo chanya.
Mtoa mada huyo ulikutana na mschana na wewe kama umejiona mtu mzima hivyo na umri huo huwezi kuwa spare tyre basi tulia na njia kuu yako.
Kasie.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom