Angalia tu usije ukampa Shem wetu gongo ili kupandisha game yake maana mnamambo nyiee ![emoji57]
Haya sawa. Yule porn star uliyemtaka ni mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unasemaje sasa ?!Shem wako hahitaji booster......nampa ugali wa dona na matembele.....siku nyingine mlenda na dagaa......kambale za ziwa Babati.....na supu ya kuku wa kienyeji kutoka nyumbani Yaeda........
Sio kushangaa tu mkuu...atasingizia karogwa na bi Nyau muuza mkaa mtaani kwao.Aspirin na konyagi, kesho ini linakufa tunaanza kushangaana.
Aisee hatarii,wanaume mnapenda kusifiwa sana ikija kwenye haya mambo...mimi ningekuwa me nikishamaliza sitaki sifa, maana nyingine huwa za uongo tu
Haya sawa. Yule porn star uliyemtaka ni mimi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unasemaje sasa ?!
Si ndio hapo,mwanzoni alianza kwa kumsifia badae kamletea booster... Wanaume msiamini sifa mnazopewa mkajiona nyie ndio vidume...huwa tunasema tu ili siku ipite...Huyu jamaa anassifiwa wakati huo huo anapewa Konyagi na Asprin.
Kama anamfikisha hizo Konyahi na Asprin za nini tena???
Mkuu ebu muulize huyu mheshimiwa Asprin maana naona ametajwa sana kwenye threadNataka nijue......