sijui wenzangu, ila mii nimejifunza kitu hapa!Tunaambiwa kila siku ukinywa dawa usitumie kilevi. Leo unaambiwa unywe asprin na konyagi ili uwe fit kitandani unakubali.
Hivi nyie wanaume mtadanganywa mpaka lini? Hamjajifunza kutokana na kosa alilofanya adam kule eden?
Asprin inapunguza athari ya pombe na hangover. ndiyo maana ukinywa pombe harafu ukapiga asprin unaamka burudani.Aspirin inakata vipi pombe?