Wanawake mtatuua

Wanawake mtatuua

Vijana wa siku hizi mnakosa maarifa. Siku nyingine utaambiwa ule Kinyesi chako na Konyagi ili Uwe fiti kitandani....kwa hapa mlipofikia najua utabugia tu. Unaacha kufikiria kuwa fiti kwenye maisha unafikiria kuwa fiti kwenye papuchi!!!!!
Inabidi ubavu wako huwe happy mda wote,ili na ww ukomae vzr kimaisha.
 
Madhara ya kuangalia Porn... Wanashindwa kutambua kuwa wale wapo kwenye Biashara.


Tendo la ndoa ni tendo la Furaha, Wao wanalifanya kama Jukumu.

Zamani sikuwa najua kama na wanawake wanaangalia porn. Au ni effect za haki sawa?
 
Si ndio hapo,mwanzoni alianza kwa kumsifia badae kamletea booster... Wanaume msiamini sifa mnazopewa mkajiona nyie ndio vidume...huwa tunasema tu ili siku ipite...
Aisee,kama ni hivyo hamuoni kuwa mnakosea?
 
Alivyozima hakukata gogo kweli?

Si alitaka watengeneze chemistry ndio hiyo sasa.Siku ingine atakutia dole la mkuu ndugu.
Chemistry za mtaani alafu maabara inakuwa lodge.
 
Hahahaha kufa hamfi ila cha moto mtakipata,lkn c ulifurahia game ya konyagi na asprin?
 
Ni kweli. Lakini mlitakiwa mjifunze kutokana na hilo..mwanamke asiwe tena chanzo cha wewe kuingia dhambini. Anakwambia tu kula mavi utakuwa handsome bila kufikiria unakurupuka unakula. Fikiria mara mbili mbili kila unachoambiwa.
Kuna vitu havihitajiki hata kufikiriwa mara mbili,maana jibu lanakuwaga wazi. Jamaa sio mnywaji,hakukuwa na haja ya kunywa kwa ajili ya papuchi.
 
Umetumia formula gani hapo chief!?

Relationship yako ikiwa stable,hutokuwa na msongo wa mawazo au wasiwasi. Akili yote itahamia katika mambo mengi mfano production (kazi).
 
Hahahaha kufa hamfi ila cha moto mtakipata,lkn c ulifurahia game ya konyagi na asprin?
Alifurahia vipi wakati alipitiwa na usingizi mpaka asubuhi?
 
Relationship yako ikiwa stable,hutokuwa na msongo wa mawazo au wasiwasi. Akili yote itahamia katika mambo mengi mfano production (kazi).
Hakuna kitu hapo...utaishia kunyweshwa Konyagi na Asprini Kama hivyo. Mwanamke rafiki yake mkubwa ni pesa na maisha bora....sasa nyinyi Vijana endeleeni kujidanganya kwa kulishwa Vinyesi na Konyagi wakati kuna jamaa anayemuwezesha huyo Demu wako yeye anatafuna na Demu ndio anajituma kwenye gemu bila hata kunywa Sprite.
 
Back
Top Bottom