Kwani humjui? Au unataka kuhakikisha?? HahahaaaHuyo jamaa wa kwenye porn anaitwa nani......?.....
Umeniacha hoi.. wanaume kazi ipooAaaaah wapi.......
Wale wa kule wanakula ma lasagna bolognese......rice stroganoff......ma fish tacos with lime cilantro crema......maalumu kwa ajili ya kufanya kazi za namna hiyo........wewe ndugu yangu tunaoshibishana kwa matembele......huoni utakufwaaa gafla bin vuuu......
Ooouuchhhh that's hurt..[emoji12] [emoji12]Aaaaah wapi.......
Wale wa kule wanakula ma lasagna bolognese......rice stroganoff......ma fish tacos with lime cilantro crema......maalumu kwa ajili ya kufanya kazi za namna hiyo........wewe ndugu yangu tunaoshibishana kwa matembele......huoni utakufwaaa gafla bin vuuu......
Hata kosa alilofanya Adam chanzo ilikuwa nyie.Tunaambiwa kila siku ukinywa dawa usitumie kilevi. Leo unaambiwa unywe asprin na konyagi ili uwe fit kitandani unakubali.
Hivi nyie wanaume mtadanganywa mpaka lini? Hamjajifunza kutokana na kosa alilofanya adam kule eden?
Shida yao ni kuridhishwa tu. Tupo wachache kweli.Watatuua hawa viumbe,nadhani hawajui kama tupo wachache.
Huyo jamaa wa kwenye porn anaitwa nani......?.....
Ni kweli. Lakini mlitakiwa mjifunze kutokana na hilo..mwanamke asiwe tena chanzo cha wewe kuingia dhambini. Anakwambia tu kula mavi utakuwa handsome bila kufikiria unakurupuka unakula. Fikiria mara mbili mbili kila unachoambiwa.Hata kosa alilofanya Adam chanzo ilikuwa nyie.
hahaha unataka ukamtafute....