Wanawake mngejua...

Unaweza kujifanya hutaki kumega kabla, halafu huko kwenye honeymoon unakutana na kitu ambacho ungekijua kamwe usingethubutu kuoa mtu wa hivyo. Imagine unaoa kitakatifu hivyo, halafu ukifika ndani unakuta mwenzio ni tranny au wengine wanaita shemale?
hehehehehehe!
kwani wewe hauna mashangazi? mashangazi ndiyo kazi zao hizo! watakusaidia kutafiti masuala kama hayo! hehehehe! umenifurahisha!
 
Jamani kuoga inachukua dkk ngapi? Siku hizi kuna tekinolojia ya utandawazi! Au wewe bado unatumia desktop computer? Unaweza pata signal hata kwa GPRS supported mobile phone mkuu! Kama vp tumia iphone!

Pape Kiboko

Currently Active Users Viewing This Thread: 30 (15 members and 15 guests) Ndege ya Uchumi, Abiel Kyamanywa, BONGOLALA, eRRy84, GAMBLER, Injinia, Kidatu, Kingi, Mtu B, Mundu, next, pcman, PingPong, Superman

Leo tuko hapa tunakodolea vekesheni yako! Mkuu ikibidi tutapiga Chabo teh teh teh
 
Hii Vekesheni hii nina wasi wasi maana Pape tangu asubuhi yuko hapa na anatoa update kwa muda mwafaka sasa sijui saa ngapi ameoga, amejindaa. Pape unatuzuga nadhani hayo ni Matamanio ya namna ungewish kuishi na Mkeo

ndio maana nikasema yuko kimaigizo zaidi
 
hehehe, mamaa ananiita honey na mimi namwita darling!

Hata watoto tunawaita 'baby'

Ndoa ndoana!

Ndo manake.
Kuna watu hapa wanakikorosho...live your life Pape, and enjoy your late afternoon outing with your wife.
 
Pape Kiboko

Currently Active Users Viewing This Thread: 30 (15 members and 15 guests) Ndege ya Uchumi, Abiel Kyamanywa, BONGOLALA, eRRy84, GAMBLER, Injinia, Kidatu, Kingi, Mtu B, Mundu, next, pcman, PingPong, Superman

Leo tuko hapa tunakodolea vekesheni yako! Mkuu ikibidi tutapiga Chabo teh teh teh
jamaa kibao wanachungulia hii thread ila wamegoma kuchangia!

ndio maana nikasema yuko kimaigizo zaidi
hehehehe, nitake radhi mkuu!
 
Maana ulisema ni mfano. Hawa watoto wetu wa raha.com, wa umri huo unawaambia tu, nendeni kwa bibi yenu na wao wako murua tu? i dont thinks if parents nowadays have the luxury of dictating the opinions of their kids.

Anyways, na sasa bado uko kwa mtandao na mamsapu naye anafurahia tu hiyo weekend vacation?

Usiseme naingia sana ndani. Tunataka tu kufahamu mwayego.
 
hehehehehehe!
kwani wewe hauna mashangazi? mashangazi ndiyo kazi zao hizo! watakusaidia kutafiti masuala kama hayo! hehehehe! umenifurahisha!

Kwa hiyo ukitaka kuchumbia demu lazima kwanza akapekuliwe na shangazi? Sasa huyo atakuwa mkeo au wa shangaziyo? Na hapo kumbuka unaweka fursa ya shangazi kukuchagulia mke apendaye yeye, ukimpenda sana demu ambaye shangazi hamtaki unaletewa ripoti ya upekuzi inasema ana mapembe kinenani!
 
Maana ulisema ni mfano. Hawa watoto wetu wa raha.com, wa umri huo unawaambia tu, nendeni kwa bibi yenu na wao wako murua tu? i dont thinks if parents nowadays have the luxury of dictating the opinions of their kids.

Anyways, na sasa bado uko kwa mtandao na mamsapu naye anafurahia tu hiyo weekend vacation?

Usiseme naingia sana ndani. Tunataka tu kufahamu mwayego.
nipo busy na hii thread tu, sichungulii nyingine! naongea na mamaa! kitu kimekaa mezani hapo ikapokea signal full strength basi maisha raha mustarehe! wakubwa tunafaidi sana!
 
Kwa hiyo ukitaka kuchumbia demu lazima kwanza akapekuliwe na shangazi? Sasa huyo atakuwa mkeo au wa shangaziyo? Na hapo kumbuka unaweka fursa ya shangazi kukuchagulia mke apendaye yeye, ukimpenda sana demu ambaye shangazi hamtaki unaletewa ripoti ya upekuzi inasema ana mapembe kinenani!
Mtu B unavituko kweli!
eti ana mapembe! hehehehehehe!, shangazi ndiyo kazi zao! kumbuka mke ukioa bila kummega kwanza anakuwa mtamu sana! Imagine ndiyo umefunga ndoa hivi utakuwa na hamu kweli? kama kummega umeshamega mara 300 na zaidi, utathubutu kweli kuhemea honey moon yako?
 
nipo busy na hii thread tu, sichungulii nyingine! naongea na mamaa! kitu kimekaa mezani hapo ikapokea signal full strength basi maisha raha mustarehe! wakubwa tunafaidi sana!

Unless huyo mamaa pia ni member hapa na anaifuatilia hii thread, vinginevyo panaweza kuchimbika au ukatafutiwa msaidizi fasta
 
nipo busy na hii thread tu, sichungulii nyingine! naongea na mamaa! kitu kimekaa mezani hapo ikapokea signal full strength basi maisha raha mustarehe! wakubwa tunafaidi sana!
Najua utaguna kwa hili swali. Una uhakika gani kuwa mkeo hajawahi kucheat? Muangalie vizuri, kwani hatamanishi?Maana wewe utasema ni perfect man.
 
hehehe, mamaa ananiita honey na mimi namwita darling!

Hata watoto tunawaita 'baby'

Ndoa ndoana!
Pape, uko bingwa, hongera sana. Naona umelitawala jukwaa la mjadala huu bila utani. Na ndoa haikukondeshi. Pongezi mkuu. Mungu akubarikipamoja na darling wako.
 
Mtu B unavituko kweli!
eti ana mapembe! hehehehehehe!, shangazi ndiyo kazi zao! kumbuka mke ukioa bila kummega kwanza anakuwa mtamu sana! Imagine ndiyo umefunga ndoa hivi utakuwa na hamu kweli? kama kummega umeshamega mara 300 na zaidi, utathubutu kweli kuhemea honey moon yako?

Mbona huyo wa kwako umemega mara kibao hadi mnao watoto wakubwa lakini bado unamaindi vekesheni za hivyo? Honeymoon inanoga tu hata kama ulikuwa unammega 24/7 miaka kadhaa! Ni kwamba siku ya harusi ni siku ya kipekee na wahusika watapeana mmegano wa kipekee pia, haijalishi walishamegana kabla wala nini.
 
Najua utaguna kwa hili swali. Una uhakika gani kuwa mkeo hajawahi kucheat? Muangalie vizuri, kwani hatamanishi?Maana wewe utasema ni perfect man.
Well,
unajua watu wanasema kwamba ukimchunguza bata huwezi kumla! mimi sina time ya kuanza kumchunguza sana! Nadhani mwenendo wake ni wa wazi na nina mwamini! Kama akicheat basi atakuwa ameamua! As for now ninauhakika bado! Sasa kama anapata atakacho kwann a-cheat? Mimi namuulizaga vp leo umeridhika? akisema bado basi kazi inaendelea na akisema inatosha na inakuw ahivyo!

Swali; wewe umeshawahi kumuuliza mpenzi wako kama ametosheka? Unachukua jitihada gani kumfikisha kileleni?
 
Note:
A total control over your wife/husband is on the tips of your fingers and your lips/tounge!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom