Wanawake mngejua...

LoL! Kingi Ameanzisha Mada Pape Kaiteka na Kuitawala
hehehe, Kingi alianzisha mada hii kuwabana w/wake! Thats all!

Vekesheni yenu mnaenda wapi, isije kuwa mnaishia JF katika Jukwaa la Mahusiano, mapenzi, Urafiki
hehehehehe, vakesheni sio lazima jf, hata kwenda jogging na wife/husband wako inatosha!

Mbona huyo wa kwako umemega mara kibao hadi mnao watoto wakubwa lakini bado unamaindi vekesheni za hivyo?
usipofanya hivyo mkuu utamegewa na serengeti boys! mkeo akijua humjali basi atatafuta mbadala wako fasta!

Pape, uko bingwa, hongera sana. Naona umelitawala jukwaa la mjadala huu bila utani. Na ndoa haikukondeshi. Pongezi mkuu. Mungu akubarikipamoja na darling wako.
senksi mkuu! Nilisema tangu mwanzo, suala la mapenzi ni la wawili! sio m/mke au m/ume pekee! mawasiliano ktk mahusiano ni muhimu!
 
Well,
unajua watu wanasema kwamba ukimchunguza bata huwezi kumla! mimi sina time ya kuanza kumchunguza sana! Nadhani mwenendo wake ni wa wazi na nina mwamini! Kama akicheat basi atakuwa ameamua! As for now ninauhakika bado! Sasa kama anapata atakacho kwann a-cheat? Mimi namuulizaga vp leo umeridhika? akisema bado basi kazi inaendelea na akisema inatosha na inakuw ahivyo!

Swali; wewe umeshawahi kumuuliza mpenzi wako kama ametosheka? Unachukua jitihada gani kumfikisha kileleni?

Note:
A total control over your wife/husband is on the tips of your fingers and your lips/tounge!
mwambie mamsapu aje kuthobitisha hapa! unatuaminisha pape
 
Jibu lako ni zuri ingawa ni la kihisia zaidi. Ila kwakuwa upo naye na huwa anapenda kuchungulia humu... na kwakuwa uko busy, naye anaona uko busy. Basi mwoneshe swali langu hilo, kisha tuambie majibu yake.

Kuhusu kutosheka kwa mwenzi ama la, hilo pia halimaanishi kuwa hiyo ndoa ni ya furaha! what about kutosheka kwako? Pia furaha kwenye ndoa ni mjumuiko wa mambo mengi zaidi ya burudiko la kitandani tu.
 
mwambie mamsapu aje kuthobitisha hapa! unatuaminisha pape
hehehehe 'Love thy neighbor, dont touch his wife, just don't try to snatch your neighbour's wife'

Jibu lako ni zuri ingawa ni la kihisia zaidi. Ila kwakuwa upo naye na huwa anapenda kuchungulia humu... na kwakuwa uko busy, naye anaona uko busy. Basi mwoneshe swali langu hilo, kisha tuambie majibu yake.

Kuhusu kutosheka kwa mwenzi ama la, hilo pia halimaanishi kuwa hiyo ndoa ni ya furaha! what about kutosheka kwako? Pia furaha kwenye ndoa ni mjumuiko wa mambo mengi zaidi ya burudiko la kitandani tu.
mamaa amesema hajawahi kucheat! unadata zozote mkuu? umeshawahi kucheat nae nn? nambie!
 
Sina data Pape. Usitishike.

Mahusiano ya familia yako na familia ya rafiki zenu yakoje? Namaanisha your close friends na her close friends. Je huwa mnatoka wote na rafiki zenu mara moja moja...au nyie ni wawili tu wewe na mamsapu?
 
mkuu nina hofu na hiyo vakeshen yako kama itaisha salama leo maana muda wote umeudediketi jamvini. Ila tunahitaji mawazo yako pia

mkuu hapa niko na mamaa! siku hizi tekinolojia inatusaidia! nadhani unaelewa! tunapata mambo mazuri hapa!

Majibu ya Pape ktk hii thread naona kama yako kimaigizo zaidi.

Mimi nina shida hii: No condom no sex, no sex no love.

Sijui mwenzetu Pape kaingiaje kunako ndoa, yani na spontaneous love isiyokuwa na trigger?

haya kiswahili kigumu... lakini mimi nimefahamu exactly what he meant to say... alimaanisha kama wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja... si ndio? kila akikaa na mwanamke mmjoa kwa muda mrefu anatamani awe na mwanamke mwingine...

My point is .... dont look at woman as a sex tool, just for satisfying ur sexually needs, for a marriage or relationship to be success you have to look at a woman as a companion, a selfish human being who will not like to share her man with other woman, look at her needs (respect and love). But if you will just focus on ur needs then dont get married... because from this part of the world (where i live) Divorce can be a pain... its better to be ran over by a train than going through divorce...

Wanaume wengi wanaoa, halafu mke anabeba mimba anazaa mwanaume anaanza kumuona mwenzake anajinenepea tu, anajiachia nk hamwambii mwenzake hadi inapofika "point of no return" ndio wanagutuka!

Halafu hii tabia ya watu kuitana "baba flani" na "mama flani" ndio inaondoa kabisa ile intimacy iliyokuwepo mwanzoni, mnaanza kuonana kwa macho hayo tu, yaani kwamba huyu ni baba/mama fulani wakati zamani mlikua mkiitana majina halisi au ya kimapenzi (for lack of a better word, I mean endearing names, like Honey, Darling etc)

Watu wengi wanadai kuwa eti kuitana majina ya zamani mbele ya watoto ni kuwafundisha watoto tabia mbaya na kuwa watoto wataanza kuwaita wazazi kwa majina hayo. Si kweli. Na kama ikitokea, huwa inapita

Miaka 20 kwenye ndoa Pape?

Umesema watoto umewapeleka kwa bibi yao.... Wana umri gani?

Hii Vekesheni hii nina wasi wasi maana Pape tangu asubuhi yuko hapa na anatoa update kwa muda mwafaka sasa sijui saa ngapi ameoga, amejindaa. Pape unatuzuga nadhani hayo ni Matamanio ya namna ungewish kuishi na Mkeo

Ndo manake.
Kuna watu hapa wanakikorosho...live your life Pape, and enjoy your late afternoon outing with your wife.

Pape, uko bingwa, hongera sana. Naona umelitawala jukwaa la mjadala huu bila utani. Na ndoa haikukondeshi. Pongezi mkuu. Mungu akubarikipamoja na darling wako.

zishinde tamaa za mwili wako ubarikiwe na bwana,amen

Wakuu nimewasoma dah ngoja niongeze konyagi badala ya valuu
 
Sina data Pape. Usitishike.

Mahusiano ya familia yako na familia ya rafiki zenu yakoje? Namaanisha your close friends na her close friends. Je huwa mnatoka wote na rafiki zenu mara moja moja...au nyie ni wawili tu wewe na mamsapu?
to be honest, we are social! we do go out sometimes with frnds, neighbours etc. we are happy for what we have and we do share wherever possible! its simple but it takes a hot water to melt that blocking ice on your heart. be faithful and you will see!

for example, my wife have access with my mobile phone 24x7. she has no doubt on that! what about you? even if i forget my cellphone at home, i am very comfortable. Nothing will happen! what about you?
 
...Nadhani watu wengine hawapendi kuchangia na wanabaki wakitamani familia yako tu Pape. Mie naendelea, je hali halisi ya maisha ya ndoa ya your best friends (familly friends) ikoje. Are they having a wonderful marital life as well?

regarding our phone accessabilty... well, mine is a free phone... but i don't touch her phone.
 
i too dont touch her phone but sometimes when it goes on she used to tell me 'honey, could you plz help me to attend that call' ofcoz i do!

our frnds lives are ok ok. i cant go too deep on their live coz i dont know much but we do share our familiy feelings whenever needed!

No one is perfect but we are trying our best.
 
haya kiswahili kigumu... lakini mimi nimefahamu exactly what he meant to say... alimaanisha kama wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja... si ndio? kila akikaa na mwanamke mmjoa kwa muda mrefu anatamani awe na mwanamke mwingine...

My point is .... dont look at woman as a sex tool, just for satisfying ur sexually needs, for a marriage or relationship to be success you have to look at a woman as a companion, a selfish human being who will not like to share her man with other woman, look at her needs (respect and love). But if you will just focus on ur needs then dont get married... because from this part of the world (where i live) Divorce can be a pain... its better to be ran over by a train than going through divorce...

we know divorce is painful thats y u must have a choice of your heart
 
... but i don't touch her phone.
why dont you touch her phone? vipi ukikuta msg ya jamaa ktk simu ya mkeo kwamba jamaa alikuwa anamtokea? utafanyaje?

Swali: m/mke mwenye mvuto ni lazima atakumbana na waroho watakao mtongoza! Je, mkeo/mpenzi wako ameshakuelezea visa vingapi vya kutongozwa?

kama bado hajakwambia basi jua mahusiano yenu yako 50-50, anaweza kugawa kirahisi! trust me!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom