Wanawake mngejua...

Annina, wewe na Fixed Point kimsingi mnazungumza kitu kimoja na mimi sikubaliani nanyi. wewe nitakusamehe kwa vile si mwanume na hujawahi kuwa mwanume, mimi kwa uzoefu wangu ni kuwa watu wengi hawaelewi wanapendeana nini. mtu halisi si yule anayeonekana, la hasha mtu halisi ni yule asiyeonekana. hivyo watu wanaoamini kuwa wanapendana ambao mapenzi yao yamebase kwenye muonekano wa mwenzie ndiyo yenye negative relationship na wakati kwani mwili ukizeeka unapunguza mvuto wake.

upande mwingine, watu waliopendana kwa kubase kwenye hobby, tabia, interests experience na mambo mengine kama hayo yasiyoonekana, graph yao ina positive relationship kwani kadiri mtu anavyozeeka ndivyo mambo hayo yasiyoonekana huwa nayo yanaimarika. hivyo wale watu mnaowaona wanapendana sana uzeeni, ni kwa sababu mapenzi yao yalibase kwenye vitu hivyo...

nawasilisha

Hapo kwa blue ni theory zaidi, mara nyingi watu wanapenda kwa kuona na baadae tabia na mengineyo huja ku cement kilichopo tayari - narudia tena hii ni kwa mujibu wa wanaume! ngoja nikae pembeni waje wathibitishe wenyewe...

Annina
 
Ha ha ha haaaa, Kingi umenichekesha sana, mimi nilidhani utasema huna mpango wa kuoa kabisa? hata ukioa miaka kumi ijayo bado utakutana na wanaovutia tu. na kwa bahati mbaya wanaovutia wapo wengi, sasa sijui utafanyaje ndugu yangu; yaani nakuonea huruma tu

mkuu ni kweli ila nikimpata atakaenivutia na nikakutana na mwenye mvuto njiani basi hasira zitamwishia waif. Katika mahusiano yangu na hao niliokuwa nao sikuwahi kucheat kwani nilitafuta wa kukidhi matamanio yangu. Ktk hili mniamini
 
Labda kuna ukweli, kuna kaka mmoja aliwahi kuniambia wanaume kwa asili wanapenda mahusiano mapya ndio maana baada ya muda huwa wanaanzisha mahusiano mengine hata kama hayana maana yeyote kwao - anaweza kuwa na mapenzi ya dhati kwa mke au mpenzi wake lakini akaanzishaa na mahusiano mapya - just for the sake of it! Nadhani kwa wale wachumi wanaweza kuilezea hali hii kwa graph kwamba wanaume graph yao ni downward sloping sababu ya negative relationship kati ya mapenzi na mazoea (wachumi tafadhali msahihishe)!

Annina

bora umejaribu kuwa mkweli
 
Annina, wewe na Fixed Point kimsingi mnazungumza kitu kimoja na mimi sikubaliani nanyi. wewe nitakusamehe kwa vile si mwanume na hujawahi kuwa mwanume, mimi kwa uzoefu wangu ni kuwa watu wengi hawaelewi wanapendeana nini. mtu halisi si yule anayeonekana, la hasha mtu halisi ni yule asiyeonekana. hivyo watu wanaoamini kuwa wanapendana ambao mapenzi yao yamebase kwenye muonekano wa mwenzie ndiyo yenye negative relationship na wakati kwani mwili ukizeeka unapunguza mvuto wake.

upande mwingine, watu waliopendana kwa kubase kwenye hobby, tabia, interests experience na mambo mengine kama hayo yasiyoonekana, graph yao ina positive relationship kwani kadiri mtu anavyozeeka ndivyo mambo hayo yasiyoonekana huwa nayo yanaimarika. hivyo wale watu mnaowaona wanapendana sana uzeeni, ni kwa sababu mapenzi yao yalibase kwenye vitu hivyo...

nawasilisha

sure, kuna mapenzi yasiyoangalia muonekano ila hayo ni machache. Watu tumetofautiana. Wakati mwingine unajiuliza jamaa alimpendea nini, au jamaa alipendewa nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom