Wanawake mngejua... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake mngejua...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Feb 28, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,217
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Wanaume wengi waliooa wangependa kurudia tena kuoa, ila kifaa kipya chenye mvuto. Ndivyo ilivyo kutokana na mazungumzo mengi ninayokutana nayo. Hili linanifanya nivute subira kwanza kuangaza macho zaidi. Ndipo ninaporudia kauli yangu kuwa uislam uliona mbali kuruhusu mitala.
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Binafsi nimeoa ni miaka 20 sasa! Na sina mpango wa kuoa tena! Mimi na mke wangu tunafurahia mapenzi kila siku. Kila siku ni sikukuu!

  Tatizo linalo wakabili wanandoa wengi ni 'uhaba wa mawasiliano katika ndoa'. Ni vyema wanandoa kushauriana! Suala la mapenzi sio la mtu mmoja (mke au mume tu). Kaeni chini mzungumze! Muulize mwenza wako anataka nini! Kuweni wavumbuzi!

  Sababu nyingine inayowasumbua wanandoa wengi ni kutembea nje ya ndoa. Unakutana na 'type' mbalimbali. Hautokaa uridhike na mume au mkeo kamwe! Wengi wenu mmezoea kulambalamba nje! Acheni hako kamchezo na ridhika na mwandani wako!


  Personally, I'm satisfied and I dont have feelings for anyone except my 'sweet wife', she knows what I want and I know what she want!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,217
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  come to think of that, i presume she might be beautiful. Wanaenda nje kwa kuwa vya nje vinazidi vya ndani
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hehehe, yes she is very beautiful! I love her from the inside out!

  Tatizo la mijitu mingine haijui kutumia 'zana' walizopewa bure! Kisha wanawasingizia wake zao! Tena wanaume wengi ndiyo wanakuwa wakwanza kulaumu!

  Mtu anarudi tu kutoka kazini hata kabla hayajua hali ya mama imekaaje utakuta anakimbilia kuomba 'chezo'. Wakati mama anashughurikia watoto, mpe muda! Ikiwezekana msaidie! Mnaposaidiana mtamaliza mapema na watoto wakilala nyie mnaanza mambo yenu hehehe!

  Kuna jamaa ni rafiki yangu nilimuuliza hivi akitaka 'tunda' huwa anafanyaje? Akasema huwa anaomba! Hehehe! Nikajichekea kimoyomoyo tu!

  Kwakweli mimi sijawahi kuomba! Yaani katika mazungumzo tu kabla ya kulala tunapiga story, tunacheka, tunaimba na hatimaye tunajikuta tu teyari tumefika huko!

  Ndiyo maana nikasema mawasiliano ni muhimu katika wanandoa! Unapogombana na mwandani wako hasa wakati wa jioni, tena huombi msamaha kwa wakati! Usitegemee kabisa kufurahia usiku wako! Lazima tu mtalala kama majokeri! Hata kesho yake mkiamka ni kama mabubu!

  Chamsingi ni utaratibu bora wa mawasiliano! Mengine yatafuata tu!
   
 5. N

  Ngala Senior Member

  #5
  Feb 28, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pape :amani ya bwana na iwe juu yenu sina la kuongeza maana mwakaribia kuwa MITUME MBARIKIWE SANA MUNGU AWE NANYI
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Pape,

  Ubarikiwe sana na kanyaga twende, usipunguze hata kidogo. Inatia moyo kuona kwamba katika dunia hii bado kuna watu wanatukuza usafi wa moyo na nafsi. Huwa siamini inapotokea tumesafiri halafu katika guest house mliyopanga kila chumba kiko busy ipokuwa vichache tu. Naamini wakaaji wa vyumba hivyo visafi wanaongozwa na roho wa Mungu. Ni vigumu kuelewa na kuamini. Tutafika tu.
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Amen!
  Ukweli ndiyo huo! Ukitaka kuwa na ndoa njema jambo la msingi ni uwe na lugha nzuri (mawasiliano), mwenye kusamehe, mwenye subira, uwe na roho ya huruma na mwenye kutoa msaada! Go and try, then you will believe me! It takes two to tango!
   
 8. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mpe somo Kingi, the guy needs help.
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,565
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pape mambo ya jumapili haya I hope Unaongozwa na Roho wa Bwana
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Yeah, wanaume inawapasa wabadilike kwakweli! Kuna familia zinaangamia hasa kwakukosa uelewano! Mume anachukua uamuzi wa kusepa nje ya ndoa! Je, mke nae afanyeje? Ndio maana 'serengeti boys' wamejaa kuziba mapengo yao! Kingi, inabidi uanze kulifanyia kazi hili suala! Utajisikia vipi ukijua mkeo anatoka na 'serengeti boy'??
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kaka/dada,
  this is my life style! Come at my home and see! You all are welcome! To me everyday is sunday! Hehe, for your information, tulipeleka watoto kwa bibi yao tangu ijumaa na leo mimi na mke wangu tunatoka kwenda 'outing' nje ya mji! tutarudi mida mirefu sana! Mama kasema tukapunge upepo huko na nikasema shwari! Je, wewe tangu umeoa/kuolewa umeshatoka na mkeo/mumeo? Hata kwenda nae ktk 'sherehe' za kiofisi au kijamii? Hehehe, kazi kwenu!

  Ngoja nimsikilize mamsapu ananiita kidogo!

   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nimependa signature yako! Hayo mambo ndiyo yanayotokea katika wanandoa wengi!
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Knowing that she is in love with me and I am in love with her is the greatest gift of all!
   
 14. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hehehe,
  Aliniita nimsaidie kuchagua nguo atakayovaa wakati wa 'outing', leo tuna mechisha!
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,217
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  i wish you knew how i know what to love a woman is, but only if i have deep feelings for her. Tatizo liliopo hapa ni kuwa wanaume wengi hawawapendi wake zao kwa dhati na hii inatokana na ukweli kuwa walidhani wamefanya machaguo yasiyo sahihi. Nakubaliana na pape, ila kwa hao ambao bado wapowapo wafanye machaguo sahihi ili hicho anachosema pape kitekelezeke
   
 16. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Swali,
  Kingi, wewe umeoa au kuolewa?
   
 17. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  jamani kuna mtu mmoja alikuwa akijiita mgombea ubunge, alikuwa na visa vya ajabuajabu vya ndoa, sijui kaishia wapi? .................baadhi ya visa vildhihirisha kuwa hata wanawake nao wengine ni hamnazo hata kama ungewapenda kiasi gani.............. hata pape angegonga mwamba......................
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,217
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  mtoko mwema. Cha msingi ukiwa huko mtokoni jaribu kuwasoma waume wenzio wanavyohaha kuangaza macho. Na wengi hawako na wake zao
   
 19. m

  maimuna Member

  #19
  Feb 28, 2010
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  it applies on both sides, once you are married you wish you hadn't, it is the same as going to restaurant, once what you have ordered has been brought you wish you had ordered what your neighbor had ordered, kikubwa ni kuvumiliana na kukubali kasoro za mwenzako, no body is perfect, utasubiri sana in this life for the perfect one!!!
   
 20. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Thread starter I got question for u... do u look at women a sex tool? I mean for you a woman is created just to satisfy your sexually need?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...