audacious
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 240
- 397
That's maturity..Umepevuka.Au umekomaaHuwa nasave jina la mtu...hata kama ni member wa jf namuandika jina lake na sio Id ya humu labda atake yeye

That's maturity..Umepevuka.Au umekomaaHuwa nasave jina la mtu...hata kama ni member wa jf namuandika jina lake na sio Id ya humu labda atake yeye

We dada ni wa mwendokasiFundi bomba
Njiapanda
Bajaji
Mkata umeme
Kiminyio
Fundi tail's

BahariniHizo tano ungezigeuza kuwa Windhoek au vipi?
Leo inabidi tukatembelee zile maeneo tulikuaga tunaenda enzi zile.
Au twende kule baharini![]()




AngalauKuliko ni-save jina la ajabu it's better nisi-save hiyo No. kabisa!!
Huwa nahisi kama vile inanichafulia phone book..!!
Kipepeo mbona ni nickname nzuri sana huyo dada atakua mshambaKuna mmoja nilimsevu "kipepeo" alivyogundua akanipiga down
Siku tungezirudisha tatizo lako ni moja tu na unalijua.Baharini
Dah umenikumbusha siku zile za kufurahi.
Hembu fanya mpango turudie zile siku.
Nakusave jina lako kama unavyotambulika na Serikali ama la sikusave kabisa. Wa JF ndo naandika mbele JF. Ila mtaani aaah boss nakusave kama serikali tu
Wapo mkuu. Sema ukiwa serious sana na siasa za huku ndo utaogopa watu. Kuna watu poa na wabaya pia ila wengi ni poaHivi humu JF kuna marafiki wa ukweli, huwa naonaga chenga tu watu siasa zimewajaa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Okey sawa sawa nimekusoma mkuuWapo mkuu. Sema ukiwa serious sana na siasa za huku ndo utaogopa watu. Kuna watu poa na wabaya pia ila wengi ni poa
Ukiona hivyo siendagi misibaniUnaenda misiba mingapi au offisi ngapi na utawakumbukaje, kuna mambo ni ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitombi aisee ndio mimi
Mzigua wa mizinguo umefanya nn sasaWapo mkuu. Sema ukiwa serious sana na siasa za huku ndo utaogopa watu. Kuna watu poa na wabaya pia ila wengi ni poa
Wachache sana wanaofanya hiviHuwa nasave jina la mtu...hata kama ni member wa jf namuandika jina lake na sio Id ya humu labda atake yeye
Kuna rafikiangu boyfriend wake kamsave 'MBWA MWEUSI' Na simu ikiita anavyoongea kimahaba tofauti na alivyomsave, nawaonea huruma sana wanaume






