Wanawake mnavyotusevu kwenye simu

Nkolandoto

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
3,877
3,675
Habari za adhuhuri wapendwa!

Leo nidamka mapema kwa shughuli zangu za hapa na pale, nikaingia kwenye gari siunajua tena purukushani za hapa na pale nikapata siti eeee bana we!

Siti mbili mbele mdada mmoja kajitandazi kwenye siti kajaa vilivyo akanyanyua simu yake nikaona sms profile yake kuna jina kasevu KITOMBI2 . ANYWAY nilitamani ningekuwa karibu ningemuuliza alimaanisha nini?

Hebu mpendwa tujuze katika pita pita zako ulishangazwa na save IPI kwa simu.

1621403945015.png

 
Habari za adhuhuri wapendwa!

Leo nidamka mapema kwa shughuli zangu za hapa na pale . nikaingia kwenye gari siunajua tena purukushani za hapa na pale nikapata siti eeee bana we !
Siti mbili mbele mdada mmoja kajitandazi kwenye siti kajaa vilivyo akanyanyua simu Yake nikaona sms profile Yake kuna jina kasevu KITOMBI2 . ANYWAY nilitamani ningekuwa karibu ningemuuliza alimaanisha nini ?

Hebu mpendwa tujuze ktk pita pita zako ulishangazwa na save IPI kwa simu

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuambie wewe wewe unasave je.
 
Tairus..

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Back
Top Bottom