Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Kweli inabidi utupe pole tu maana yaliyomo kwenye cm za watu mmhhhhKuna rafikiangu boyfriend wake kamsave 'MBWA MWEUSI' Na simu ikiita anavyoongea kimahaba tofauti na alivyomsave, nawaonea huruma sana wanaume
Afadhari mrembo unaendelea kufungua ufahamBinafsi tukakapokutana siku ya kwanza kabisa tunaonana ndiyo nitakavyokusave ...kama msibani nitaandika msiba......kama kwenye bus nitaandika bus kama ofisini nitaandika ofisi .....na itadumu hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nipo kwny foleni bank simu ya mdada mbele yangu ikaita jina limetokea Lifemate nikasema kama ndio demu wako ukimhoji anakwambia huyu mfanyakazi wa pale Lifemate furniture





Kwahiyo umeweka JF kule mbeleNakusave jina lako kama unavyotambulika na Serikali ama la sikusave kabisa. Wa JF ndo naandika mbele JF. Ila mtaani aaah boss nakusave kama serikali tu



Lako halikua na hiyo.Kwahiyo umeweka JF kule mbele![]()
Basi ulinitendea haki.Lako halikua na hiyo.
Jana tu nimekukumbuka halafu

Namba zako sizioni dokta. Embu nicheck wewe nione.Basi ulinitendea haki.
Ivi namba zangu haunaga eeh.?..si ungenicheck whatsup .
NimekucheckNamba zako sizioni dokta. Embu nicheck wewe nione.
Nimeona. Halafu nimekusave jina lako la kwanza lote kumbeNimekucheck
Yes..hiyo ndio inatakiwa sasa.Kula tano kwanzaNimeona. Halafu nimekusave jina lako la kwanza lote kumbe

Unaenda misiba mingapi au offisi ngapi na utawakumbukaje, kuna mambo ni ya ajabuBinafsi tukakapokutana siku ya kwanza kabisa tunaonana ndiyo nitakavyokusave ...kama msibani nitaandika msiba......kama kwenye bus nitaandika bus kama ofisini nitaandika ofisi .....na itadumu hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app