Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,031
- Thread starter
- #21
Fikiria kwanza punguza misamiatiUjinga ni kukubalia kuwa mjinga, vinginevyo kila mtu ana akili, zitumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria kwanza punguza misamiatiUjinga ni kukubalia kuwa mjinga, vinginevyo kila mtu ana akili, zitumie
Hahahaha unachekesha mkuuKuna dem aliona nimemsevu "bwabwa" akanipiga chini.
Usishangae kuna 3KITOMBI1 muda wake umeisha, sasa ni zamu ya KITOMBI2 kula vinono
Hukumuuliza MKUU alikuwa na maana ganiKun Mmoja alikua amenisave
vidole vinene![]()
Kila mmoja na akili Yake nimekukubaliKuliko ni-save jina la ajabu it's better nisi-save hiyo No. kabisa!!
Huwa nahisi kama vile inanichafulia phone book..!!
Tena inaweza kuwa king'ang'anizi wa kujua kasevia vpMimi najua unachochunguliaga, hiyo ya simu ni kweli wanakusingizia.
Hatari hiiKuna mmoja nilimsevu "kipepeo" alivyogundua akanipiga down
Hujui kuwa ukiondoka anabadirisha jina.Mpenzi wangu kanisave fiance![]()
Binafsi tukakapokutana siku ya kwanza kabisa tunaonana ndiyo nitakavyokusave ...kama msibani nitaandika msiba......kama kwenye bus nitaandika bus kama ofisini nitaandika ofisi .....na itadumu hivyo