Wanawake mnamtambuaje mwanaume insecured?

Ahahaha mademu ninyi mnajijua wenyewe, wifi ako ananiambia naona umeamua kuokoka hujanywa bia siku nyingi, na kipindi nakula bia almost everyday alikuwa analalamika, nimemwangalia nikajisemea kimoyoni haya bana….
😂 hawa viumbe ni wa ajabu mno, ukimpa attention ni shida, usipompa attention ni shida vile vile. Tuishi nao kwa akili tu. Nmepitia baadhi ya comment nmeishia kucheka.
 
😂😂😂 kwisha habari yako, ushaanza kumuita mama?
Si unajua malezi ya mama? Kumchambisha mtoto wake kawaida!!
Bwana ametoa, Bwana ametwaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe bwana acha unaniumiza mbavu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…