Ndo niko hivyo yani... nikiona tu mtu wa kuchat chat mda wote, kubembeleza bembeleza hiyo kwangu ni red flag😎akiletwa Dk anaweza baini kaugonjwa ulikonako..
mwe.
labda hujiamini..
au basi ni tru love!‼️
sure hayo yanaboa..ila mm hapana..sitamuweza...hata akiwa namaokoto ntamchukia..akuMimi mapenzi ya baby baby, mara sweetie mara honey siyataki.. yani nataka mtu awe serious 😂😂😂
laki??? 15000/=Anaweza kukulaghai
Muda huo huba limekolea na unapenda kupokea maelekezo mfululu, unaquit.
Mwamba sasa anaaza kuwa anadeposit laki laki
😂😂 utajutaa
Coco coco coco, nimekuita mara tatu coco (ya nne)1. Akiwa hana pesa (nimekumbuka enzi nikiwa binti)
🤣🤣🤣 Km wanaume wa dar mtashinda mnachambana mpk unajiuliza iki nini?Akiwa ananisikiliza na kuitikia kila ninachokisema sijui hua namuonaje🤔
Hilo zoezi lianze kabla sijaacha😂😂🙌 ... kwanza sitaki nimeghairi 🤨🤓Anaweza kukulaghai
Muda huo huba limekolea na unapenda kupokea maelekezo mfululu, unaquit.
Mwamba sasa anaaza kuwa anadeposit laki laki
😂😂 utajutaa
Wa hivyo mimi ndo sitamuweza kabisa 😂😂😂🤣🤣🤣 Km wanaume wa dar mtashinda mnachambana mpk unajiuliza iki nini?
Muone 😂😂, asa we unataka nini🤣🤣🙌sure hayo yanaboa..ila mm hapana..sitamuweza...hata akiwa namaokoto ntamchukia..aku
nataka tu ajue huyu mtu yuko town...huyu mtu kuna dili qanafatilia...masuala ya kuniongoza kunikaripia mh hapana..yaan ajifanye yeye ndo mwenye brain hapana..pita hiviMuone 😂😂, asa we unataka nini🤣🤣🙌
Laki 1 mama 😂😂laki??? 15000/=
Unajifanya huwezi kujua kapuku yukoje? Hivi ukata unafichika? Yaani una boyfriend halafu ushindwe kujua kama ana fedha au la? Mtu hata akificha lazima kuna sehemu atashindwa. Ni kama maradhi. Halafu hujui ukishajua ufanye nini? Jamaa wewe umeteremka kutoka sayari ya Mars leo nini? Ukishamjua si unamwambia ''wewe siyo type yangu, samahani sana kaa mbali na mimi''Habari!
Wanawake, hivi mwanaume insecured mnamtambuaje? Nimeuliza kwa sababu mara nyingi mnapenda sana nice guys, ila baadaye mnawang'ong'a.
Mfano mmoja kuna mtu alileta uzi humu, akisema kuna wanawake walikuwa wanamteta mwanaume aliyekuwa akijifanya mzee wa kutabasamu muda wote.
Sasa swali kwenu, mnamtambuaje mwanaume insecured?
Mkishamtambua, mnachukua hatua gani?
Mbona mwenye brain 🤣🤣🤣🤣nataka tu ajue huyu mtu yuko town...huyu mtu kuna dili qanafatilia...masuala ya kuniongoza kunikaripia mh hapana..yaan ajifanye yeye ndo mwenye brain hapana..pita hivi
laki nyinhi..anakuingizia 16000🥲Laki 1 mama 😂😂
Sijui unaspend ngapi per day ili umalize mwezi
Alooo
Basi sawanataka tu ajue huyu mtu yuko town...huyu mtu kuna dili qanafatilia...masuala ya kuniongoza kunikaripia mh hapana..yaan ajifanye yeye ndo mwenye brain hapana..pita hivi
mwanaume mwenye pesa hata akiongea kwa simu anajulikana...hata ngozi mbona inaongeaga!hata akikutxt tu unajua huyu zimetimia...Unajifanya huwezi kujua kapuku yukoje? Hivi ukata unafichika? Yaani una boyfriend halafu ushindwe kujua kama ana fedha au la? Mtu hata akificha lazima kuna sehemu atashindwa. Ni kama maradhi. Halafu hujui ukishajua ufanye nini? Jamaa wewe umeteremka kutoka sayari ya Mars leo nini? Ukishamjua si unamwambia ''wewe siyo type yangu, samahani sana kaa mbali na mimi''
Tupige storyContent kwako ni nini ?
🤣Basi sawa
depal nimecheka..?ndo wale wale una line ya tigo nikupigie??🤣🤣🚮Tupige story
Arise mada
Nirise mada
Tujadiliane
Sasa umekula, unafanyaje mkuu kweli? Kwani sijui sahivi ni mchana tunatakiwa kula? Cha mahaba zaidi nikukumbushe tu boo its time for lunch, sio asbh mpk usiku nina kazi ya kuuliza sahivi unafanyaje.
Madude yasiyofundwaUnataka kuishi kwa amri?
Babe naomba ruksa niende Town.. hapana hakuna kwenda, subiri mwezi ujao nakuja kukupeleka mwenyewe. Ndo unapenda?