mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
Oooh! Economic status ya familia yenu ipoje? Zipo au ndiyo wale wale?[emoji28]1. Akiwa hana pesa (nimekumbuka enzi nikiwa binti)
Oooh! Economic status ya familia yenu ipoje? Zipo au ndiyo wale wale?[emoji28]
Ahsante kwa mchango wako...si hata ukiwa popote mfano shuleni.. si utayajua tu haya.. marafiki wa kiume n.k.
Hivyo... Jibu langu haliendani na ya kwetu
Mwenyezi Mungu amekuwa mwema sana.. sina la zaidi kukujibu.
Wanawake mnaitwa hukuHabari!
Wanawake, hivi mwanaume insecured mnamtambuaje? Nimeuliza kwa sababu mara nyingi mnapenda sana nice guys, ila baadaye mnawang'ong'a.
Mfano mmoja kuna mtu alileta uzi humu, akisema kuna wanawake walikuwa wanamteta mwanaume aliyekuwa akijifanya mzee wa kutabasamu muda wote.
Sasa swali kwenu, mnamtambuaje mwanaume insecured?
Mkishamtambua, mnachukua hatua gani?
Wakiwa sema mnapenda wakurya wakuwabutua, mnagoma π€£π€£Akiwa ananisikiliza na kuitikia kila ninachokisema sijui hua namuonajeπ€
Shambulizi zimeanza π€£ni kama wewe mleta mada
namuonaga anapigo hizo..alwys kuwasema sema wanawakeπ₯±Shambulizi zimeanza π€£
Unaachia husiano shwaaaaMkishamtambua, mnachukua hatua gani
Kwa kifupi hana content..namuonaga anapigo hizo..alwys kuwasema sema wanawakeπ₯±
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππKwa kifupi hana content
Yani wakurya wangekua hawapigani ningeacha kila kitu kwajili yaoπππ€£Wakiwa sema mnapenda wakurya wakuwabutua, mnagoma π€£π€£
Kwambaaa? [emoji23][emoji23][emoji23]Akiwa ananisikiliza na kuitikia kila ninachokisema sijui hua namuonaje[emoji848]
Unataka kuishi kwa amri?Yani wakurya wangekua hawapigani ningeacha kila kitu kwajili yaoπππ€£