Wanawake mnajua muda mwingine mnakwaza?

Kuna binti ananiforce hela ya kujitambulisha tu iwe zaidi ya laki 3,mimi nilikuwa naona 150,000 inatosha.

Ananiambia kama siwez andaa laki 3 ni bora asiwajulishe kaka zake,na aondoke kwangu.

Afu wakati huo n singo maza
Wanawake wengi ni vichwa vya bata usipokuwa na msimamp thabiti ....utaishia kupelekeshwa mpk utakubali, akizingua sana mwambie achape lapa usitishike kwa lolote
 
Kuna binti ananiforce hela ya kujitambulisha tu iwe zaidi ya laki 3,mimi nilikuwa naona 150,000 inatosha.

Ananiambia kama siwez andaa laki 3 ni bora asiwajulishe kaka zake,na aondoke kwangu.

Afu wakati huo n singo maza
Hebu acha usenge kmmmmk, mia hamsini ukajitambulishe tu!? Wewe hapo gharama yako inatakiwa iwe nauli na ukiondoka wakushukuru kwa kukurudisha utokako kwa pesa yao kwa kuwasitiria binti yao
 
mpuuzi wa hivyo dawa yake unampelekea TU tofali (block)
IMG_20210729_100806.jpg
 
si mwingine bali mama mzazi, maana anajitoa sana kwenye masherehe kwaio lazima atataka kurudishiwa fadhila, badala wafanye tenda wema nenda zako. Mi nawaangalia nikipata mwny mawazo ka yangu asije nilaum kwakweli
Usifike huko mtoto mzuri ...jaribu kum convince jamaa aache ma show off
 
Hebu acha usenge kmmmmk, mia hamsini ukajitambulishe tu!? Wewe hapo gharama yako inatakiwa iwe nauli na ukiondoka wakushukuru kwa kukurudisha utokako kwa pesa yao kwa kuwasitiria binti yao
sema Kuna matusi kwenye hii comment lakini kuna point ya maana mno hapa. Mi nilienda na fifty tu na niliitoa basi tu. Kwa maisha ya leo kile kitendo cha mwanaume kwenda jitambulisha ni HESHIMA KUBWA MNO kwa wazazi, ndugu na jamaa wa mwanamke.
 
Kuna watu wanakera ujue, sasa mtu kaamua kumsitiri singo maza halafu bado anataka ampangie kiwango cha fedha kwenda kujitambulisha na jamaa lilivyo pumbafu linakosa maamuzi shwain kabisa.
 
Kuna binti ananiforce hela ya kujitambulisha tu iwe zaidi ya laki 3,mimi nilikuwa naona 150,000 inatosha.

Ananiambia kama siwez andaa laki 3 ni bora asiwajulishe kaka zake,na aondoke kwangu.

Afu wakati huo n singo maza
 
Kuna watu wanakera ujue, sasa mtu kaamua kumsitiri singo maza halafu bado anataka ampangie kiwango cha fedha kwenda kujitambulisha na jamaa lilivyo pumbafu linakosa maamuzi shwain kabisa.
Jamani eh msitutukane single maza alaa
 
Ananiweka kwenye uzinifu muda wote huu, nikifa ghafla hell fire inanihusu
Nashindwa kuelewa jamaa anafeli wap ..coz imezoeleka kuona mwanamke Aki demand sherehe kubwa kwenye harusi Cha kushangaza jamaa Ako ndo anataka mambo ya misherehe mikubwa ....
 
Mi nimetulia tu miaka mitano ijayo wanaume tutakuwa adimu sana. Covid 29 inaua wanaume sana. 2025 wanaume watakuwa wanalipiwa nahali na wanawake. Hata na za kutolea tutakuwa tumiwa nasisi.
Mwaka juzi niliambiwa kitu na mdada mmoja yuko kwenye late 30's ni mtu nilikuwa namheshimu sana. Tulikuwa tunafanya naye kazi ofisi mmoja akapata ajira inayo mlipa zaidi akaacha kazi na kwenda kwenye ajira mpya, ni pisi kali, na anajiheshimu sana, mtu wa kanisani kwa sana. Huwa tuna kawaida ya kukutana mara kwa mara na kupeana michapo ya kimaisha. Huwa ananiheshimu sana na pia anafahamia hata na wife wanangu pia wanamjua vizuri tu na humwita shangazi.
Kitu alichoniambia ni hiki amechoka kumsubiria mwanaume wa ndoto zake anachohitaji ni sasa ni kuitwa mama haijalishi hata kupitia mume wa mtu.
Nachofahamu huyu dada akiwa kwenye mid 20 alikuwa na mahusiano na mwanaume mmoja classmate wake wa chuo, walikuwa na malengo ya pamoja sana na walikuwa wamefikia hatua ya kujitambulisha katika pande zote mbili. Yule jamaa yake wakiwa katika uchumba akampa mimba rafiki huyu sister, na inaonekana huyu aliyepewa hiyo mimba alifanya kusudi ili kumnasa jamaa. Kwa sababu matukio yalimfanya huyu sister kujua kuhusu ujauzito wa rafiki yalidhihirisha kuwa ilikuwa ni kitu kilichopangwa na hakikutokea kwa bahati mbaya.
Huyu sister aliponiambia uamuzi wake nilimuuliza je umeshapata huyo mtu aliyetayari kuzaa na wewe? Alinambia kwamba " wewe ndiyo mtu Sahihi" nami nikamwambia you can not be serious, unajua kabisa mimi nimeoa na pia mke wangu anakujua na anakuheshimu sana.
Akanambia kwamba, fikiria tu ni jinsi gani unaweza kunisaidia. Nikamwambia nitakusaidia ila sio kwa kuzaa na wewe.
Nilikuwa na jamaa yangu ni classmate wangu yeye alifiwa na mkewe kama miaka miwili iliyopita. Nilitafuta namna ya kuwakutanisha katika matukio mbalimbali na pia nilimweka wazi jamaa kuwa huyu sister anaweza kukufaa she is a potential wife material. Ni event kama mbili tatu nikaona wameanza dating. Baada ya miezi mitatu wakaanza kuishi pamoja. Jamaa alinishukuru sana kwamba nimemwelekeza kwa mke bora.
Tunavyoengea hivi sana mdada ana mtoto wa mwaka mmoja na mtu mwenye furaha sana. Anatuheshimu sana mimi pamoja na wife. Kabla hajaolewa alikuwa na kawaida ya kuwanunulia sana zawadi watoto wangu, ameendelea na tabia hiyo hata leo. Baadhi ya majirani wanajua kuwa ni sister wangu wa kuzaliwa kumbe hata undugu wa mbali haupo.
Hii story nimeleita kwa sababu mwelekeo wa dunia tunakoenda, idadi ya wanaume inazidi kupungua sana. Ndiyo nasema katika miaka ijayo wanaume tutakuwa tunalipwa na wanawake.
 
Kuna binti ananiforce hela ya kujitambulisha tu iwe zaidi ya laki 3,mimi nilikuwa naona 150,000 inatosha.

Ananiambia kama siwez andaa laki 3 ni bora asiwajulishe kaka zake,na aondoke kwangu.

Afu wakati huo n singo maza
Jamani
 
si mwingine bali mama mzazi, maana anajitoa sana kwenye masherehe kwaio lazima atataka kurudishiwa fadhila, badala wafanye tenda wema nenda zako. Mi nawaangalia nikipata mwny mawazo ka yangu asije nilaum kwakweli
Nimekupenda.
Af nikwambie tu, mwendo huo, huna mume hapo.
 
Back
Top Bottom