Wanawake mnajua muda mwingine mnakwaza?

Hebu acha usenge kmmmmk, mia hamsini ukajitambulishe tu!? Wewe hapo gharama yako inatakiwa iwe nauli na ukiondoka wakushukuru kwa kukurudisha utokako kwa pesa yao kwa kuwasitiria binti yao
Huyajui haya mambo,lazma hela kiasi utoe
 
Hii tabia ya kupanga sherehe kwa kutegemea michango ya watu Ife mtakuja kununia watu buremtu unapanga sendoff ya milioni kumi wakati wewe mwenyewe huna hata uwezo wa kutoa milioni mbili,unapanga ndoa ya milioni 20

Wakati wewe mwenyewe hata hela ya suti unategemea uchangiwe acheni huu ujinga.Ukipanga shughuli angalia na mfuko wako acha mambo ya kuiga iga kisa umeona rafiki zako wamefanya sherehe ya kifahari.

Ishi maisha Yako na sio kuigaiga ndio maana wengi wenu hamuoi/hamuolewiUnakaa na binti wa watu anakuambia anataka kwenye ndoa yake apande Range Rover wakati kwao uwani wamepaki ndala mbovu zilizotoboka, Shela unataka litoke Italy,Viatu vya Uturuki,Manukato ya Dubai,Suti ya Uingereza,

Wakati hata passport huna,umekazana kabisa mimi bila sherehe ya bajeti ya milioni 30 siolewi nyau wewe ungekuwa na misimamo hiyo si angekukuta na bikira yakoAcheni kuwatesa vijana kihisia mnawalazimisha wafanye vitu vilivyo nje ya uwezo wao mwisho mnajikuta mnazalishwa na kuachwa.

Sio kila unachokiona kwenye vipindi vya CHEREKO CHEREKO na Ndoa Yako na wewe uviige.Chukua Bwana/Bibi Yako nenda kwa Pastor/Shehe/Mfungisha ndoa ukiwa na mashahidi wako na watu wachache maliza shughuli.

Unaalika watu 400 umekuwa serikali wewe kwamba umeitisha bunge?Kadi unapanga mchango laki unaijua laki ni asilimia ngapi ya mshahara wa mtu?Ukipanga jambo lako hakikisha asilimia 60

Kwenda juu unaitoa kwenye mfuko wako vinginevyo utakuja kulaumu watu bure. nimeandika hapa kuna mtu kapanga sendoff ya milioni kumi kabakiza vikao vitano na michango mpaka sasa kapata laki nane anaishia kulaumu watu na ndugu tu

.........Naandika nafuta.....naandika nafuta

.....embu nenda hapo dukani mwambie akupe COCACOLA kubwa nitapitia kulipa.
 
sema Kuna matusi kwenye hii comment lakini kuna point ya maana mno hapa. Mi nilienda na fifty tu na niliitoa basi tu. Kwa maisha ya leo kile kitendo cha mwanaume kwenda jitambulisha ni HESHIMA KUBWA MNO kwa wazazi, ndugu na jamaa wa mwanamke.
Nimekuelewa mno bro
 
Kuna binti ananiforce hela ya kujitambulisha tu iwe zaidi ya laki 3,mimi nilikuwa naona 150,000 inatosha.

Ananiambia kama siwez andaa laki 3 ni bora asiwajulishe kaka zake,na aondoke kwangu.

Afu wakati huo n singo maza
 
si mwingine bali mama mzazi, maana anajitoa sana kwenye masherehe kwaio lazima atataka kurudishiwa fadhila, badala wafanye tenda wema nenda zako. Mi nawaangalia nikipata mwny mawazo ka yangu asije nilaum kwakweli
Njoo tuyajenge. Hamna ajuaye kesho yaja na nini.
 
Kuna binti ananiforce hela ya kujitambulisha tu iwe zaidi ya laki 3,mimi nilikuwa naona 150,000 inatosha.

Ananiambia kama siwez andaa laki 3 ni bora asiwajulishe kaka zake,na aondoke kwangu.

Afu wakati huo n singo maza


Unataka kujitambulisha kwa 150,000 badala ya 300,000 sababu huna pesa au sababu ni singo maza?

Sa mbona unahaingaika kujitambulisha na umesham disqualify. Una sababu gani ya kuoa mtu ambaye ni singomaza😎

Mwache binti wa wenyewe atapata mwenye hiyo 300,000 hata zaidi na atakayempenda bila kujali kwamba ni singomaza
 
Kuna binti ananiforce hela ya kujitambulisha tu iwe zaidi ya laki 3,mimi nilikuwa naona 150,000 inatosha.

Ananiambia kama siwez andaa laki 3 ni bora asiwajulishe kaka zake,na aondoke kwangu.

Afu wakati huo n singo maza
Kwani Kuna uhaba wa mabinti hadi uumize kichwa kwa huyo single mother?
 
Back
Top Bottom