Wanawake mnaionaje hii????????????

mnalalamika mnakandamizwa, mara sjui hakuna ajira . sasa zali la askrimu limekuja mnaanza kujigonga gonga. mimi naomba mniinkludi kwenye wateja wa hii askrimu. na ikibidi katika zoezi la ukamuaji pia nitashiriki.

:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:....lol!!!

Supply haitoshi kwa ajili ya biashara......yapo kwa ajili ya mhusika tu!!!!

Habari ya weekend ndugu zangu na wana

jamii forum popote mlipo.Naamini weekend mmeitumia ipasavyo.

Napenda kuchukua fulsa hii kuleta mbele yenu nafasi hii ya uwekezaji kwa kina dada/mama.Tukiachana na zile biashara ambazo huwa zinaleta taswira mbaya kwa jamii ambazo sina haja kuzitaja,zipo fulsa nyingine halali zinazidi kujitokeza,kama uuzaji wa nywele kama wenzetu wa asia kule.Katika pitapita nikaona na hii nikaona si mbaya kuwashirikisha.

Ice-cream made of human milk on sale.By IB Times Staff Reporter

A restaurant in London is selling ice cream made with breast milk donated by a British mom to make the "totally natural" treat.

The Icecreamists parlor is pricing the new flavor, which is named "Baby Gaga", at 14 pounds ($23). The new recipe blends the breast milk with Madagascan vanilla pods and lemon zest, which is then freshly churned into ice cream.

hii nimeipenda......pia ipo ile ya baadhi ya migahaw london.....unapewa chai ya rangi then mdada anakamulia maziwa kwenye chai yako

:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:....lol!!!

Supply haitoshi kwa ajili ya biashara......yapo kwa ajili ya mhusika tu!!!!
kwa msimamo huu kina mama mtaharibu market ya hii biashara yetu mpya. mkikosa hela mimi naomba msinipige virungu kwasababu uchumi mnao lakini mnauvalia sidiria tu

ha ha ha ha! Mwanaume umepinda wewe..lol!
Njo, na mimi uniletee chochote kilichokuwa made in klorokwin.
usjali, nakuja na maajabu hata ya loliondo ni chamtoto tu. hakikisha tunakutana mbali na kituo cha polisi

Ukistajabu ya musa utayaona ya firauni. Duniani kuna mambo! Bora mwenyezi mungu arudi mapema cz tumezidi ya sodoma na gomora.

Hayo ni maoni yako CPU but watuwanakusanya hela huko.
Full Uchafu, full kinyaa
Na kama huyo anaemwagia maziwa yake ana ugonjwa wa ngozi au vidonda au kansa, au matatizo ya kiafya yanayohusisha hadi kwenye damu yake ndo anakuwa SILENT HUMAN KILLER

Sio kama maendeleo yanakuja hivyo WISELADY,ndio hivyo ubunifu watu wanaongeza percapita
Full Uchafu, full kinyaa
Na kama huyo anaemwagia maziwa yake ana ugonjwa wa ngozi au vidonda au kansa, au matatizo ya kiafya yanayohusisha hadi kwenye damu yake ndo anakuwa SILENT HUMAN KILLER

Dah! kama maendeleo yanakuja hivi,,,,,,,:confused2:

Gaga kweli eeh mbona hii kitu ndio best na recomended kwa watoto iweje hapa inaonekana kituko?
Hata ng'ombe nao wale wa kizungu ambao ndio tunakunywa maziwa yao wana maradhi kibao na vile vimanyoa vinavyopenya kwenye maziwa yale pia yanaleta athma na kifua kwa watoto kwa sana tu, kwa hiyo kila kitu kina mazuri na mabaya yake.Ila sasa namna ya kuyapeleka huko ni ishu. hii huku kwetu haiwezekani

Usijali LIZZY nitakupa link uwasiliane zaidi na hawa jamaa,kama kuna short course za kutengeneza etc.By the way ntakua mteja wako

Nitumie tutengeneze pesa!Dah mteja wangu mkuu sio?Ntakupa discount!

Mbona wanaume mkiwa katika kale kamchezo MNANYONYA MAZIWA MPAKA YANATOKA NA MNAMEZA sasa haya yana ubaya gani?

Au mnanyonya mlikotokea na mnameza je hapo utasemaje?

Nimebadili mawazo we utachoka sana bana kusoma kuproduce wacha tu kama kozi niende mie ntakuja kukupa demo.
Nitumie tutengeneze pesa!Dah mteja wangu mkuu sio?Ntakupa discount!

Nimebadili mawazo we utachoka sana bana kusoma kuproduce wacha tu kama kozi niende mie ntakuja kukupa demo.
Hahahaha!Ngoja nimtume mume wangu ili akamue yeye!We utabaki kua mteja mwaminifu!

Back
Top Bottom