Wanawake mna nini na hii kitu?

athari hii inawakumba pia wake za watu,

ukimsifia saana mara kwa mara ndio unajipa credit ya kula chema.

Unakwenda kujilia kirahiiisi!!
 
ngoja niweke kama screen saver kwa muda lol

Yule workmate wako angekuwa anazungumza namna hii leo tungekuwa tunazungumza mengine na pia angekuwa na unadhifu huu ingekuwa tayari ....

 
mchokozi sana wewe!! Ngoja aje akwambie no free p!!

Wanawake aina ya ya lara 1 ukijua wanachokikosa kwenye maisha yao unaweza kujishangaa au kudhani una dawa

Simple like to push a drunker!!
 
Last edited by a moderator:

Huenda umeeleweka ...!!
 
Ni kweli kabisa, nilikula wawili kwa kuwamwagia misifa wakati nipo secondary,
 
Eiyer sio kweli hao wanaobanjuliwa kwa sifa ni maharage ya mbeya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…