Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,978
- 4,317
Kwanza nikishajipata vzr Kuna uwezekano mkubwa wa kunikosa JukwaanππJipate vizuri kwanza mkuu urudi kutuhadithia ndo itanoga.
Hapana mkuu utakua unakosea, Mchengerwa kubwa la mafisadi lakini lipo humu bado limesema jana.Kwanza nikishajipata vzr Kuna uwezekano mkubwa wa kunikosa Jukwaan
Usimlaumu Nyoka kung'ata, maana ndio ameumbwa kung'ata, so akifanya hvyo ni anatimiza wajibu. "Midomo".Mimi nimekusudia ndani ya moyo wangu nitaitimiza Ile kauri yake aliyoniambia kuwa nisiwahi kumtafuta akiwa hai labda nimtafute akiwa marehemu.
Dada zetu punguzeni midomo muwe na akili ya kuwaza ya kesho.
Vijana wanasikitisha sanaa ,Punguwani mmoja kakuletea zesheni unaibuka na uzi wa kutukana wanawake wote!
Mchengerwa nitamtimua humu aende fasibuku.Hapana mkuu utakua unakosea, Mchengerwa kubwa la mafisadi lakini lipo humu bado limesema jana.
Dah hv ww umewaza nn etππHapana mkuu utakua unakosea, Mchengerwa kubwa la mafisadi lakini lipo humu bado limesema jana.
Kwahy jamaa naye yupo kwa privacy id mbona sijawahi kuona I'd yake kama alivyokuwa mama Dorothy gwajima πMchengerwa nitamtimua humu aende fasibuku.
Get readyAkifa uniambie ili tumtafute wote, maana huyo bibie akiwa hai yaelekea hatongozeki kabisa yaani π.
Nilikuwa nawaanalyse sana wanawake as if wao ni malaika, ila niliposhtuka kwamba hao sio malaika ni wanadamu kidogo nilianza kubadilisha akili yangu juu ya mwanamke. Ukiwekeza nguvu kumwelewa mwanamke hutoboi.Usichukulie serious sana masuala ya wanawake, ndo wameumbwa hivyo mkuu.