hm! hm!
Labda sijakutana nao mimi.
Mkuu, the most neatest cars i ever met in Dar City, belongs to women, i can assure you that!
hebu kwanza nikuulize swali, ushawahi kukutana na magari yaliyoandikwa '' Tafadhali nioshe, nimechoka kukaa na vumbi''?
Labda tungesema wanawake hawako competent katika driving especially katika huge traffic jams, hapo ningekukubalia!
Vigari vyenyewe wanavyoendesha ni hivi vidogo dogo, ist, verrosa, labda prado, wengine wame-advance kwenda Land rovers... imagine sasa ukute gari kama hizo zikiwa chafu!
Gari yenyewe saiz ya kobe! halafu ukute chafu! si itakuwa kichuguu sasa?...