Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Umeshupaza shingo kwa jambo lisilo kuhusu , unadhani kila mtu anaishi kwa umalaya kama wewe! Hata hivyo hata ukiita kenge siwezi kubadirika kuwa kenge wala bikra yangu haitoki itabaki ili uendelee kuumia
Aaaaah bikira wweee
Jf nihame niende wapi mimiii.
 
Hamna. Nipo tu mbona sema.
Nikiwa sina bando natumiaga 0.freebasics.com
Hapo kuna website kibao unaweza kubrowrse bureee. Na JF ikiwemo.

Kwa hio suala la bundle sio issue.
Some time napunguza kuingia ingia Jf nna vikao vya arusi naoa mwezi wa tisa.
Haha Ivuga mwenyewe huyoooo anaoa

Hongera

Cc Smart911
 
Virginity is not something you parade or solicit publicly to the society. Virginity is more than keeping your hymen intact until after marriage.

Virginity is a well guarded secret and a gift to your husband upon marriage.

Now when you hold it like a trophy for the world to see am left to wonder. Are you serious?

Cc
Raimundo
mahondaw
This is non of thy business karucee
 
Lakini nimewai Sikia Eti Bikra inaweza tolewa Na kuendesha pikipiki au kufanya kazi nguvu.Au kuwa Na hasira sana.Sasa umeshajaribu kama imetokaa??mana iliwai tokea kesi kama Iyo kwamba Mbaba wa Watu akajua amepata Bikra kumbe imetoka kwa njia hizo.Aliuliwa yule Dada akihisi amerubuniwa.So take care..Usijitapeee sana sana.
 
sawa..kuamini ama kutoamini hainihusu.ukweli anajua mwenyewe.
lakini kwanini anajitangaza hadharani..unajua huyu bibie kuna watu wanamjua hapa jf ila wanamstahi tu?
hivi wewe ngekua na dadako bikra halafu kila atapopita mtaan anajitangaza utsjiskiaje?utamfikiriaje?ni swala linalohitaji usiri..kama vile kiungo chako cha siri unavyokiweka siri yako..nayo bikra iko humohumo ibaki siri na muumba na mume..au anaweza kutangaza uchi wale ukoje..ki**mi chake kina urefu gani kama anavotangaza bikra?
Kwani nikijitangaza wewe kinakuwasha nini .?
 
hongera mwaya...ila bikra sio ujanja karne ya sasa sababu kuna bikra za kichina..
wengine tulipenda kuwa nazo but mazingira hatarishi yalifanya tuzipoteze..
licha ya kutokuwa nazo tunaolewa na ndoa zenye furaha tele
pia usiishi maisha kwa kukariri...yan fair tales unawaza ""nkiwa bado na bikra yangu..nampata kijana mwenzangu mzurii sana..ananioa..tunaishi raha mustarehe maisha mazur...mme wangu ananipenda sana.....

haiko hivo..unaweza uolewe bikra na ndoa uione chungu..mwanaume kaahakipata alichokifuata na mimba kakubebesha hlf ye yuko nize na vibint vya sekondary....uaikariri shouga.

pia ushauri wa bure kwako..usimwambie mwanaume kwamba wewe ni bikra..
mwanaume yupo tayari kufanya lolote ili aipate..na akishaipata ndo baas!!!
mfanyie surprise.

na wanaume wa kusubir hadi ndoa siku hizi mayb utawapata..watoto wa mjini hawakubali kuuziwa mbuzi ndani ya gunia..
kama hujui muulize nyantumba na bikra yake anavopata tabu

kila la heri katika kujibu pm!
Kwani unayosema ya uongo??alishaletaga story humu bwana kamkimbia kwa sababu anamkataliaaaa.Sasa asicheze umri unaenda.
 
Wala siogopi nazije tu ntakabirana
Itunze dada!!!

Kuna msemo wa wenye hizo bikra Wanasemaga "naweza kua kama wewe ndani ya sekunde ila kamwe huwezi kua kama mimi kamwe!"
Jivunie tu
 
unahangaika tu mdogo angu kutunza iyo bikira bora utombwe tu bado mapema,, maana wanaume wengine hatupendi mabikira,,, mimi napenda nikute shamba limesha paliliwa halina miba napita tu citaki usumbufu kubikiri
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.

Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.

Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...

Karibuni
 
Lakini nimewai Sikia Eti Bikra inaweza tolewa Na kuendesha pikipiki au kufanya kazi nguvu.Au kuwa Na hasira sana.Sasa umeshajaribu kama imetokaa??mana iliwai tokea kesi kama Iyo kwamba Mbaba wa Watu akajua amepata Bikra kumbe imetoka kwa njia hizo.Aliuliwa yule Dada akihisi amerubuniwa.So take care..Usijitapeee sana sana.
Wala sijakuomba ushauri we pita tu,by the way vipi yule mwanaume mliyekuwa mnamgombania nani amefakiwa kumchukua?
 
Back
Top Bottom