Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Na detect katangazo ka biashara au moyo mpweke! Not in this era labda atuambie umri wake! na mafisi aliyokuwa ana meet nayo ambayo yalishindwa kumwingiza box
 
labda wenye bikra za machoni,maana tundu zingine zishafumuliwa
 
hongera mwaya...ila bikra sio ujanja karne ya sasa sababu kuna bikra za kichina..
wengine tulipenda kuwa nazo but mazingira hatarishi yalifanya tuzipoteze..
licha ya kutokuwa nazo tunaolewa na ndoa zenye furaha tele
pia usiishi maisha kwa kukariri...yan fair tales unawaza ""nkiwa bado na bikra yangu..nampata kijana mwenzangu mzurii sana..ananioa..tunaishi raha mustarehe maisha mazur...mme wangu ananipenda sana.....

haiko hivo..unaweza uolewe bikra na ndoa uione chungu..mwanaume kaahakipata alichokifuata na mimba kakubebesha hlf ye yuko nize na vibint vya sekondary....uaikariri shouga.

pia ushauri wa bure kwako..usimwambie mwanaume kwamba wewe ni bikra..
mwanaume yupo tayari kufanya lolote ili aipate..na akishaipata ndo baas!!!
mfanyie surprise.

na wanaume wa kusubir hadi ndoa siku hizi mayb utawapata..watoto wa mjini hawakubali kuuziwa mbuzi ndani ya gunia..
kama hujui muulize nyantumba na bikra yake anavopata tabu

kila la heri katika kujibu pm!
Hayo yoote uliyoongea haya husiani na nilichokiandika, maneno kama yako nilishaambiwa sana lkn sikubabaika na bado sitababaika najua ninacho kifanya. na uzuri mwenyewe eggyjay siyo Mungu na wala sijitunza ili nikufurahishe.
Nimefanya hivyo kumuheshimu Mungu na si vinginevyo , huko pm unaposema sina mpango napo ...mwisho nikuhakikishie aliyenisimamia kujitunza mpaka Leo ndiye atakaye nisimamia mpaka ndoa.
 
Unayemtunzia hiyo bikra sasahivi anashikisha watu ukuta huko na anafanya tigolization sasa kaa mkao....
 
Back
Top Bottom