Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,457
- 11,337
Iko wazi tayariFungua pm🙄
Iko wazi tayariFungua pm🙄
Kuna wanaume hapo wanampigia makofi. Je, wana akili au hawana?Nimekumbuka Hotuba ya Samia wakati anaongea na Wazee!
View attachment 3515732
View attachment 3515732
Hapa ndio nachoka akifanya yeye kosa inakuwa sio kosa ngoja ufanye wewe hilo hilo kosa utafikiri kasuku au chiriku kwa kuongea!!!Wanawake Mzee ni changamoto bad enough rate Yao ya ubinafsi ni kubwa mnooo Yaani hata aweje hiyo kitu lazima iwe inside.
.
😁😁😁
Hahaha kama mimi, alafu anaanza kulalama....namwambiaga "kama hutaki majibu yangu usiniulize maswali yako"Aaaah me tests za kijinga ili kuona nitasemaje au kunipima huwa sijibu kama wanavotarajia
Nimeikopi for future use.Sio nchi hata familia za single mother nyingi zimeishia kuzalisha mashoga , walevi , n.k
Wanawake wana ubinafsi ambao huwafanya waamini katika price na sio value
Kwahiyo utakuta wanamiliki vitu vingi Ila ambavyo havina thamani
They knows the price of everything but the value of nothing.
🙄🙄🤔Iko wazi tayari
Hahahaha wewe shida na wewe😂😂
Mimi ni muumini mkubwa sana sa patriarchy. Katika historia tumefundishwa ni mfumo mbaya katika jamii. Lakini baada ya kukua na kupata uelewa wa saikolojia za mwanaume na mwanamke nimegundua patriachy ni mfumo sahihi zaidi kwa jamii.Wanasema ukitaka kumuelewa mwanamke Kama mwanaume utakosea the same ukitaka kumielewa mwanaume Kama mwanamke utakosea.
Wanawake 99% hapa duniani wanapenda senseless donkey
Ambaye atavumilia tabia zao mbaya, dramas , n.k
Nashangaa watu wanawaweka katika siasa nadhani haya ni makosa
Wazungu ndo wametufikisha hapa mkuuMimi ni muumini mkubwa sana sa patriarchy. Katika historia tumefundishwa ni mfumo mbaya katika jamii. Lakini baada ya kukua na kupata uelewa wa saikolojia za mwanaume na mwanamke nimegundua patriachy ni mfumo sahihi zaidi kwa jamii.
Ukweli ni kwamba haimbagui mwanamke wala kumpendelea mwanaume isipokua ina-utilize ufanisi wa kila mmoja kwa kumweka kwenye nafasi yake asilia kwa ajiri ya mustakabali wa jamii.
Mfano kiasili mwanaume ni mtoaji, mwanamke ni mbinafsi. Kama kuna wanawake wawili na wanaume wawili pamoja na fursa mbili za ajira. Ukienda na 50/50 ukampa ajira mwanamke mmoja na mwanaume mmoja. Watabaki mwanaume mmoja na mwanamke mmoja ambao ni jobless. Wanawake wote wawili mwenye ajira na jobless watamtaka yule mwanaume mwenye mwenye ajira. Kwaiyo tutabaki na mwanaume mmoja ambae hana wa kumsaidia. Lakini zile ajira zote mbili ukiwapa wanaume wawili kila mmoja atamuoa mwanamke mmoja kwaiyo wote wanne watanufaika
100% TRUE!Logical reasoning inawashinda wanawake. Katika ufanyaji maamuzi ili mambo yaende kwenye mstari kuna wakati inalazimu mwanamke apuuzwe.
Hukuwai kumsikia Angela Merkel wa Ujerumani?Me naona a woman hafai kuwa leader popote pale
Since sijaona nchi kubwa iliyoendelea sana inayoongozwa na mwanamke