Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,457
- 11,337
Ukweli uko pale paleWanawake hawapo logical hii ni Asili wao hutumia ubongo wa kulia na wanaume hutumia kushoto
Ila mkiwa Mwnamke na mwnaume mnafanya Kazi huwa inaenda vizuri Sana mkiwa mnashirikiana .
Ila shida itatokea mwanamke awe ndo mfanya maamuzi hapo ataharibu vibaya Sana .