Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,970
- 36,440
Kuniweka sentensi moja na Bichwa, nimelia sana kwa mihemuko 🤣🤣🤣Mbona bibie BICHWA KOMWE - na Binti wa zamani wanafanya uamuzi wa busara mkuu.
Hapo bado hujamzungumzia Bantu Lady
Kuniweka sentensi moja na Bichwa, nimelia sana kwa mihemuko 🤣🤣🤣Mbona bibie BICHWA KOMWE - na Binti wa zamani wanafanya uamuzi wa busara mkuu.
Hapo bado hujamzungumzia Bantu Lady
BICHWA anaakili kubwa sana kumbe! Duh, nilikuwa namchukulia poa 😂.Kuniweka sentensi moja na Bichwa, nimelia sana kwa mihemuko 🤣🤣🤣
una akili za kikeTungekuwa sisi wanaume kila tunachofanya kingekuwa sahihi ningeunga mkono hoja. Lakini ukweli nikuwa Wapo wanawake wapumbavu na wanaume wapumbavu vile vile. Ujinga hauchagui jinsia
huyo ni kichaa huyo, Mungu mwnyw haitwi mama anaitwa baba, mitume na manabii wengi ni wanaume na wengi wao waliangushwa na mwanamke kwa mimi mkristo imeandkwa usimpe siri na nguvu zako mwanamke, kanisan anatakiwa akae kimya na hata kama ana jambo la kuuliza akamuulize mumewe nyumbani, YESU mwnyw aliteua wanaume tu tena 12 hakunamo mwanamke. mi nikiendaga kwa ndugu au rafk nikanusa kwmb mke ana nguvu ya maamuzi na matamko huwa sirudii tn kutembelea hapo na mara nyng familia iyo haiishi misukosuko, moja ya laana aliyopewa mwanamke ni TAMAA YAKO ITAKUWA KWA MUMEO NAYE ATAKUTAWALA..mwanamke anatakiwa atawaliwe iwe anataka au hataki lazma mwanaume umtawale huyo mwanamke.una akili za kike
uko sahihi kabisa mkuu 100%.Huyu mwenzenu says it all.
Wanawake na mihemko ni damu damu.
We are doomed as a nation!.
View attachment 3515450
upo sahihi kabisahuyo ni kichaa huyo, Mungu mwnyw haitwi mama anaitwa baba, mitume na manabii wengi ni wanaume na wengi wao waliangushwa na mwanamke kwa mimi mkristo imeandkwa usimpe siri na nguvu zako mwanamke, kanisan anatakiwa akae kimya na hata kama ana jambo la kuuliza akamuulize mumewe nyumbani, YESU mwnyw aliteua wanaume tu tena 12 hakunamo mwanamke. mi nikiendaga kwa ndugu au rafk nikanusa kwmb mke ana nguvu ya maamuzi na matamko huwa sirudii tn kutembelea hapo na mara nyng familia iyo haiishi misukosuko, moja ya laana aliyopewa mwanamke ni TAMAA YAKO ITAKUWA KWA MUMEO NAYE ATAKUTAWALA..mwanamke anatakiwa atawaliwe iwe anataka au hataki lazma mwanaume umtawale huyo mwanamke.
Sometimes hata mkigombana ile logic ya akueleze shida inakuwa nini hasemi!!mi masuala ya kumshirikisha jambo mwanamke nilishalikataa....!!!
Mwanamke awe mtu wa kupokea taarifa tu baada ya maamuzi ba jambo lishatendeka.
hiyo ndio maturity...Sometimes hata mkigombana ile logic ya akueleze shida inakuwa nini hasemi!!
Anabaki kusema shida kila siku me nakwambia, shida huelewi shida hunijali etc
NISHACHOKA DRAMA NOWADAYS RULE NI MOJA TU
1. Hakuna kubembeleza tena😎
hela , Biashara na wanawake ni pasua kichwa balaaNa ndio waharibu dili hao, ukiona unafanya dili na mchizi halaf anakwambia mpaka ashauriane na mkewe jua hamna dili hapo.
hiyo ndio maturity...
focus on yourself, develop narcissistic character.....!
ukimsikiliza mwanamke hutoboi katika maisha haya.
Kwa kweliSio kwamba wanaume hatukosei lakini angalao tunaona uhalisia na tunawajibika. Mwanamke yeye anaenda na emotions tu. Anaweza kutaka kitu halafu hapo hapo akataka kinhine ambacho kimantiki kinapingana na kile alichokitaka mwanzo.
Mfano anaweza kutetea usawa wa kijinsia halafu hapo hapo akataka mwanaume awe provider. Wakati hayo ni mambo mawili ambayo hayawezi kwenda sambamba. Akitaka usawa basi akubali ku-sacrifice provision kutoka kwa mwanaune, na akitaka provision basi lazima akubali ku-sacrifice usawa.
Mwanamke ni wa kumsikiliza tu, sio wa kumzingatia
😁😁😁 Feminine Alertuna akili za kike
Haaaa ai wandaaa😂Kwa kweli
Najionea hii Kwa wife
Unaweza ukamletea kitu na Asikifurahie then Nachukua maamuzi ya kiume na mwambia kama hautaki basi kiache nitatumia Mimi mwenyewe basi atajinunisha pale baada ya siku mbili unashangaa anaanza kutumia kile kitu ulicho mletea tena anasema kabisa hiki ni kitu changu
.😁😁😁😁
Wanawake kweli they're second god mistake Kmmk
Punguza mihemko kabla ya kucomment kwenye mitandao ya kijamiiLabda wanaume wa kizungu lakini hawa maniga hawana tofauti na hao wanawake zao
Wanawake Mzee ni changamoto bad enough rate Yao ya ubinafsi ni kubwa mnooo Yaani hata aweje hiyo kitu lazima iwe inside.Haaaa ai wandaaa😂
Hakuna kubembeleza
Aaaah me tests za kijinga ili kuona nitasemaje au kunipima huwa sijibu kama wanavotarajiaWanawake Mzee ni changamoto bad enough rate Yao ya ubinafsi ni kubwa mnooo Yaani hata aweje hiyo kitu lazima iwe inside.
.
😁😁😁