Wanawake kwa nini mnakuwa ving'ang'anizi?

Wanawake kwa nini mnakuwa ving'ang'anizi?

Huyo anamtia x wake wivu tu..anamuonyeshea yan...sio kwaamba anakupenda sanaa..x wake yupo eneo hilo hilo so anamtia jilasi tu...sasa wee ona unapendwa uingie chaka
 
Huyo mchumba wako ulikuwa unaongea naye mbele ya huyo dada ni yule 'ulikuwa unatembea na dada yake' kabla yake, ama huyo ni mwingine tena.?
Anyway ngoja nikujibu! Nlokua natembea na dada Yake sio mchumba, Ni mdg mtu , nlitembea nae kumkomoa dada mtu ! Huyu nnaesema mchumba, inshallah ndo atAkuwa maza house !
 
Wana bodi,

Ni hivi majuzi October, nilisafiri mbali na mkoa ninaojipatia riziki, nikaenda mkoa mwingine, na nilitakiwa kukaa miezi mitatu !

Nilifika salama na nikapanga chumba Cha muda, nilibahatika kupata chumba katika moja ya hostlel flani hivi, hilo eneo Ni karibu na chuo ! Sikupata gharama ya kununua kitanda Wala godoro ! Nililipa Kodi tu na kuingia ndani !

Back to the story, Hilo eneo Kuna duka moja hivi , hapo ndipo napojipatia mahitaji muhimu Kama maji , sabuni n.k!

Kuna mdada mmoja anauza hapo, Ni mzuri black beauty umbo la kibantu , mpole mtaratibu ! Pembeni na hapo dukani kwake kuna mgahawa, hapo ndo napopendelea kula Mara nyingi kwani sipiki, ndani Sina hata kijiko ! Huo mgahawa upo bize Sana , pengine Ni kwa sabb ya uwepo wa wateja wengi eneo Hilo hususan wanafunzi ! Sasa pale asbh vitu Kama chapati Ni tabu Sana kupata, au unakuta ni za folen japo wapishi Ni watatu ,,, Mimi huwa sipendelei chapati za Moto , huwa napenda zilizopoa, ndo nilie kitu Cha Moto (supu chai au maziwa)
Sasa kwa mazingira ya pale chapati za zilizopoa huwa Ni ngum kupatikana , Sasa huyu dada wa dukani nikawa namwambia awe ananichukulia/aniwekee oda nikipita kunywa chai nizipate, akawa anafanya hvo, Mara siku nyingine anasahau !

Akanambia chukua namba, uwe unanikumbusha, nikafanya hvo ! Tukaanza chatting kidogo, mara utani utani n.k ! Ni mkoa wa Baridi, siku nikamuomba tutoke out siku ya jpil akakubali,,, tulikunywa na kula , kimasihara (we have sex) , it was so so good, wakuu nimekiri! She is good Sana kule maeneo,(she is hot, tightly,anajua kwenda na mdundo wa ngoma etc) Sina maneno mazuri ya kusimulia zaidi!!

Tukazoeana Mara dufu, akajakuniambia kuwa Ni single mama wa mtt mmoja , alizaa na mjeda mmoja , alishahamishwa huo mkoa, na hawana mawasiliano tena! So anapambana kumlea mtoto kivyake vyake !
Penzi napewa nitakavyo bila shida!

Sijawahi kumtamkia nampenda, pia sijawahi kutaka kujua status Yake kimahusiano kwa Sasa, maana hapa Kama Ni kupita tu Sina malengo nae, hapa najipoozesha kwa muda ! Shida inakuja huyu ameanza kuniganda Sana , Mara anataka aongee na ndg zangu , Mara sijui Nini , naona Mara anajiongelesha mipango ya badae n.k !

Mind that tuna mwez na wiki kadhaa tu tangia tufahamiane, ila amekuja kwa kasi mno, baada ya kugundua hili nikaanza kupunguza mawasiliano ili asijae jumla jumla, hata game nikawa siombi Sana , yeye ndo huwa Mara akifunga ananitext Leo nakuja kulala kwako !!!

Juzi hapa aliumwa, tumbo la uzazi(wanawake mnajua hili alivyojifungua sijui ilikuwaje) sijamuuliza vizuri, alilazwa Kama siku 4 , nilimlipia bill yote, pale hosp nilienda kumuona Mara moja tu , Kama nilivyosema lengo Ni kupunguza mazoea nae !

Baada ya kutoka hosp alikaa kidogo nyumban akarudi kazini kwake, naona anaanza kulalama simjali, simpendi eti Kama mwanzo, Mara nampotezea n.k! Alishanifanya mtu wake kumbe sio, Kuna mda unakuta Niko nae bed usiku, mchumba anapiga namuelekeza kabisa lakini ananuna na kubadilika kabisa!

Juzi hapa baada ya kupona Kuna siku alinitext usiku , nilikuwa sipo ghetto, nilikuwa natazama ile game ya stars na Tunisia,,, mda huo Alikuwa ndo anafunga, akanambia Leo nakuja kwako, nikamjibu sipo usije, akasema mwagize boda funguo utanikuta, ! Sikufanya hivyo, akaenda kwake, alilalama Sana , mara simpendi, Nina dharau, sijui nimepata msomi mwenzangu , Mara nimepata mwanachuo (naishi hostel) ! Nikamkaripia kidogo, akanijibu utanitambua!

Wakuu huyu anataka Nini ? Nimuoe ama ? Tumejuana hata miezi miwili haijafika, kwa haraka haraka sio wife material, Ni mtu anapenda command, pia anapenda umpe attention Sana !!! Nimempotezea jumla , na dukan kwake sinununi kitu Cha kula mfano maji , mkate ,karanga n.k ! Nanunua vitu Kama vocha sabuni tu , asije niwekea sumu ! Ana hasira za haraka Sana !!! Wanawake muache kung'ang'ania
Yaani demu wako 1 anakufanya kuja kugeneralize as if wanawake(mademu) wa dunia nzima wana kung'ang'ania.

Akili sio vyombo vya wageni usiogope kutumia.
 
Binti anashinda dukani mpaka SAA 6 usiku ndo akalale sasa badala ya kulala eti kibwengo kinataka mchat usiku mzima,,, sasa chart zenyewe ndo km hizo za "umelala chali au kitumbotumbo saivi"
Bint wa watu usingiz unakuja kumchukua saa kumi alfajir hapo dukani 12:00 akafungue.


Style hiyo si kuuchezea moyo wa mtu.?
Kajaa mno jumla mkuu !
 
Nipo makini boss
Vizuri kwa kuwa makini, Ila tambua kuwa wadada wengine huwa hawabipiwi bro, ukute mwenzako yupo apo miaka na miaka hata salamu hapati au hata wa kumwambia nataka kukuoa hayupo.
Umekuja ww, umemwambia maneno matamu, sifa km zote, akaamua aulizie na ndoa kbs mn kamshkr Mungu kwa kumpa bonge la mume, kumbeeee mume mwnyw ndo hit and run [emoji23][emoji23][emoji23].
Moyo wa mtu hauchezewi ovyo, hisia za mtu hazichezew ivyooo. Ili kujikomboa mwambie tu ukweli na achana nae kbs.
 
Huyo anamtia x wake wivu tu..anamuonyeshea yan...sio kwaamba anakupenda sanaa..x wake yupo eneo hilo hilo so anamtia jilasi tu...sasa wee ona unapendwa uingie chaka
Nishashtuka ndo maana nimekata mazoeA
 
Binti anashinda dukani mpaka SAA 6 usiku ndo akalale sasa badala ya kulala eti kibwengo kinataka mchat usiku mzima,,, sasa chart zenyewe ndo km hizo za "umelala chali au kitumbotumbo saivi"
Bint wa watu usingiz unakuja kumchukua saa kumi alfajir hapo dukani 12:00 akafungue.


Style hiyo si kuuchezea moyo wa mtu.?
[emoji2][emoji2]eti kitumbo tumbo, kachezea hisia zake kweli, maneno matamu hayoooo
 
Vizuri kwa kuwa makini, Ila tambua kuwa wadada wengine huwa hawabipiwi bro, ukute mwenzako yupo apo miaka na miaka hata salamu hapati au hata wa kumwambia nataka kukuoa hayupo.
Umekuja ww, umemwambia maneno matamu, sifa km zote, akaamua aulizie na ndoa kbs mn kamshkr Mungu kwa kumpa bonge la mume, kumbeeee mume mwnyw ndo hit and run [emoji23][emoji23][emoji23].
Moyo wa mtu hauchezewi ovyo, hisia za mtu hazichezew ivyooo. Ili kujikomboa mwambie tu ukweli na achana nae kbs.
Najitahd kumuacha taratibu bila yeye kujua,,,, mawasiliano nApunguza mdg mdg
 
Kwanini unataka utamu?

Kwanini ulitaka mtoke outing?

Kwanini unachat nae mpaka usiku wa manane?

Kwanini unamsifia maumbile?

Inavoonekana tu ulimpenda zaidi zaidi vile vihuduma vidogovidogo vya pale dukani ulivokuwa unapata bure vilikurahisishia maisha mwanaume bahili wenye.
Kitendo cha kuomba outing ni dhahr ulimtaka ila domo zege.
Baada ya kujua ni singo mamaz ukaunganisha na yasemwayo huku JF ( story za kina Zero IQ ) ukaona sasa huyu ni mbaya,,,.
Ndugu MOYO wa mtu hauchezewi ovyo.

Tamaa zako unajiona umegandwa wakati unaishi hostel huna hata baiskel.
umeongea ukweli kabisa so vizuri kuchezea moyo wa mtu af mtu unaongea kiujasiri et napita tu wtf
 
Back
Top Bottom