Wanawake kwa nini mnakuwa ving'ang'anizi?

Wanawake kwa nini mnakuwa ving'ang'anizi?

Wakati tunasubiri wahusika waje ngoja nisogeze sogeze coment kidogo.

Mimi nahisi unamlaumu bure, nafikiri kama usingekua na huyo mchuchu wako hayo yote anayokufanyia ungeona ni upendo na wala sio ung'ang'anizi.
Umejibu vyema swahiba![emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Back
Top Bottom