Nandinii
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 2,572
- 2,829
Ungevumilia ss, au ungemuita huyo mchumba kwa siku kadhaa ili mambo yawe shwari.Nye****e tu zilikuwa , nothing serious

Ukame unaujua lakini mkuu ?Sikatai, ila kuwepo kwa baridi sio kigezo!
Daah kumbe Yule bonge ni cha wote ?Ok ni hivi unasoma sua. Na una sup umekuja kufanya na demu mwenywe kibonge yupo min market anaitwa khadija mtu wa Tanga,wew unaishi nyumba ya mzee kondo zamani alikuwa Mkuu wa kituo kastaafu mwaka nadhani sasa, chapati unanunua kwa mama sengo pale...kuwa mpole mkuu...mko wawil bonge na wew size ya kati...bye n pole yule cha wote.
Punguza sifa tunajua unapendwa maana zile mbwembwe na gari la home c mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni yupi mie nakula popo na corn hapa ghorofa la delavilaDaah kumbe Yule bonge ni cha wote ?
By the way mi ni bodaboda mitaa hiyo
Picha ya matukio na huyo dada tafadhali.Wana bodi,
Ni hivi majuzi October, nilisafiri mbali na mkoa ninaojipatia riziki, nikaenda mkoa mwingine, na nilitakiwa kukaa miezi mitatu !
Nilifika salama na nikapanga chumba Cha muda, nilibahatika kupata chumba katika moja ya hostlel flani hivi, hilo eneo Ni karibu na chuo ! Sikupata gharama ya kununua kitanda Wala godoro ! Nililipa Kodi tu na kuingia ndani!
Back to the story, Hilo eneo Kuna duka moja hivi , hapo ndipo napojipatia mahitaji muhimu Kama maji , sabuni n.k!
Kuna mdada mmoja anauza hapo, Ni mzuri black beauty umbo la kibantu , mpole mtaratibu ! Pembeni na hapo dukani kwake kuna mgahawa, hapo ndo napopendelea kula Mara nyingi kwani sipiki, ndani Sina hata kijiko ! Huo mgahawa upo bize Sana , pengine Ni kwa sabb ya uwepo wa wateja wengi eneo Hilo hususan wanafunzi ! Sasa pale asbh vitu Kama chapati Ni tabu Sana kupata, au unakuta ni za folen japo wapishi Ni watatu ,,, Mimi huwa sipendelei chapati za Moto , huwa napenda zilizopoa, ndo nilie kitu Cha Moto (supu chai au maziwa)
Sasa kwa mazingira ya pale chapati za zilizopoa huwa Ni ngum kupatikana , Sasa huyu dada wa dukani nikawa namwambia awe ananichukulia/aniwekee oda nikipita kunywa chai nizipate, akawa anafanya hvo, Mara siku nyingine anasahau !
Akanambia chukua namba, uwe unanikumbusha, nikafanya hvo ! Tukaanza chatting kidogo, mara utani utani n.k ! Ni mkoa wa Baridi, siku nikamuomba tutoke out siku ya jpil akakubali,,, tulikunywa na kula , kimasihara (we have sex) , it was so so good, wakuu nimekiri! She is good Sana kule maeneo,(she is hot, tightly,anajua kwenda na mdundo wa ngoma etc) Sina maneno mazuri ya kusimulia zaidi!!
Tukazoeana Mara dufu, akajakuniambia kuwa Ni single mama wa mtt mmoja , alizaa na mjeda mmoja , alishahamishwa huo mkoa, na hawana mawasiliano tena! So anapambana kumlea mtoto kivyake vyake !
Penzi napewa nitakavyo bila shida!
Sijawahi kumtamkia nampenda, pia sijawahi kutaka kujua status Yake kimahusiano kwa Sasa, maana hapa Kama Ni kupita tu Sina malengo nae, hapa najipoozesha kwa muda ! Shida inakuja huyu ameanza kuniganda Sana , Mara anataka aongee na ndg zangu , Mara sijui Nini , naona Mara anajiongelesha mipango ya badae n.k !
Mind that tuna mwez na wiki kadhaa tu tangia tufahamiane, ila amekuja kwa kasi mno, baada ya kugundua hili nikaanza kupunguza mawasiliano ili asijae jumla jumla, hata game nikawa siombi Sana , yeye ndo huwa Mara akifunga ananitext Leo nakuja kulala kwako !!!
Juzi hapa aliumwa, tumbo la uzazi(wanawake mnajua hili alivyojifungua sijui ilikuwaje) sijamuuliza vizuri, alilazwa Kama siku 4 , nilimlipia bill yote, pale hosp nilienda kumuona Mara moja tu , Kama nilivyosema lengo Ni kupunguza mazoea nae !
Baada ya kutoka hosp alikaa kidogo nyumban akarudi kazini kwake, naona anaanza kulalama simjali, simpendi eti Kama mwanzo, Mara nampotezea n.k! Alishanifanya mtu wake kumbe sio, Kuna mda unakuta Niko nae bed usiku, mchumba anapiga namuelekeza kabisa lakini ananuna na kubadilika kabisa!
Juzi hapa baada ya kupona Kuna siku alinitext usiku , nilikuwa sipo ghetto, nilikuwa natazama ile game ya stars na Tunisia,,, mda huo Alikuwa ndo anafunga, akanambia Leo nakuja kwako, nikamjibu sipo usije, akasema mwagize boda funguo utanikuta, ! Sikufanya hivyo, akaenda kwake, alilalama Sana , mara simpendi, Nina dharau, sijui nimepata msomi mwenzangu , Mara nimepata mwanachuo (naishi hostel) ! Nikamkaripia kidogo, akanijibu utanitambua!
Wakuu huyu anataka Nini ? Nimuoe ama ? Tumejuana hata miezi miwili haijafika, kwa haraka haraka sio wife material, Ni mtu anapenda command, pia anapenda umpe attention Sana !!! Nimempotezea jumla , na dukan kwake sinununi kitu Cha kula mfano maji , mkate ,karanga n.k ! Nanunua vitu Kama vocha sabuni tu , asije niwekea sumu ! Ana hasira za haraka Sana !!! Wanawake muache kung'ang'ania
Ukame! Chief hakuna cha ukame! Ni kujiendekeza, usione tako limekatisha tayari umelitamani. Kiufupi ni kusema huna uvumilivu!!Ukame unaujua lakini mkuu ?
😀😀ila dunia hii ina viazi jamani, unatuomba ruhusa sisi? tukikubalia umwoe utamwoa?Wakuu huyu anataka Nini ? Nimuoe ama ?
Nani kakudanyanya uchawi haupiti kwenye kwenye sabuni? Huwa ukienda pale unapaa eti hukanyagi chini...dunia ina mambo hiiNanunua vitu Kama vocha sabuni tu , asije niwekea sumu !
Mwanzo umesema ni mpole na mtaratibu, mwisho ukasema anahasira za haraka. AiseeeWana bodi,
Ni hivi majuzi October, nilisafiri mbali na mkoa ninaojipatia riziki, nikaenda mkoa mwingine, na nilitakiwa kukaa miezi mitatu !
Nilifika salama na nikapanga chumba Cha muda, nilibahatika kupata chumba katika moja ya hostlel flani hivi, hilo eneo Ni karibu na chuo ! Sikupata gharama ya kununua kitanda Wala godoro ! Nililipa Kodi tu na kuingia ndani!
Back to the story, Hilo eneo Kuna duka moja hivi , hapo ndipo napojipatia mahitaji muhimu Kama maji , sabuni n.k!
Kuna mdada mmoja anauza hapo, Ni mzuri black beauty umbo la kibantu , mpole mtaratibu ! Pembeni na hapo dukani kwake kuna mgahawa, hapo ndo napopendelea kula Mara nyingi kwani sipiki, ndani Sina hata kijiko ! Huo mgahawa upo bize Sana , pengine Ni kwa sabb ya uwepo wa wateja wengi eneo Hilo hususan wanafunzi ! Sasa pale asbh vitu Kama chapati Ni tabu Sana kupata, au unakuta ni za folen japo wapishi Ni watatu ,,, Mimi huwa sipendelei chapati za Moto , huwa napenda zilizopoa, ndo nilie kitu Cha Moto (supu chai au maziwa)
Sasa kwa mazingira ya pale chapati za zilizopoa huwa Ni ngum kupatikana , Sasa huyu dada wa dukani nikawa namwambia awe ananichukulia/aniwekee oda nikipita kunywa chai nizipate, akawa anafanya hvo, Mara siku nyingine anasahau !
Akanambia chukua namba, uwe unanikumbusha, nikafanya hvo ! Tukaanza chatting kidogo, mara utani utani n.k ! Ni mkoa wa Baridi, siku nikamuomba tutoke out siku ya jpil akakubali,,, tulikunywa na kula , kimasihara (we have sex) , it was so so good, wakuu nimekiri! She is good Sana kule maeneo,(she is hot, tightly,anajua kwenda na mdundo wa ngoma etc) Sina maneno mazuri ya kusimulia zaidi!!
Tukazoeana Mara dufu, akajakuniambia kuwa Ni single mama wa mtt mmoja , alizaa na mjeda mmoja , alishahamishwa huo mkoa, na hawana mawasiliano tena! So anapambana kumlea mtoto kivyake vyake !
Penzi napewa nitakavyo bila shida!
Sijawahi kumtamkia nampenda, pia sijawahi kutaka kujua status Yake kimahusiano kwa Sasa, maana hapa Kama Ni kupita tu Sina malengo nae, hapa najipoozesha kwa muda ! Shida inakuja huyu ameanza kuniganda Sana , Mara anataka aongee na ndg zangu , Mara sijui Nini , naona Mara anajiongelesha mipango ya badae n.k !
Mind that tuna mwez na wiki kadhaa tu tangia tufahamiane, ila amekuja kwa kasi mno, baada ya kugundua hili nikaanza kupunguza mawasiliano ili asijae jumla jumla, hata game nikawa siombi Sana , yeye ndo huwa Mara akifunga ananitext Leo nakuja kulala kwako !!!
Juzi hapa aliumwa, tumbo la uzazi(wanawake mnajua hili alivyojifungua sijui ilikuwaje) sijamuuliza vizuri, alilazwa Kama siku 4 , nilimlipia bill yote, pale hosp nilienda kumuona Mara moja tu , Kama nilivyosema lengo Ni kupunguza mazoea nae !
Baada ya kutoka hosp alikaa kidogo nyumban akarudi kazini kwake, naona anaanza kulalama simjali, simpendi eti Kama mwanzo, Mara nampotezea n.k! Alishanifanya mtu wake kumbe sio, Kuna mda unakuta Niko nae bed usiku, mchumba anapiga namuelekeza kabisa lakini ananuna na kubadilika kabisa!
Juzi hapa baada ya kupona Kuna siku alinitext usiku , nilikuwa sipo ghetto, nilikuwa natazama ile game ya stars na Tunisia,,, mda huo Alikuwa ndo anafunga, akanambia Leo nakuja kwako, nikamjibu sipo usije, akasema mwagize boda funguo utanikuta, ! Sikufanya hivyo, akaenda kwake, alilalama Sana , mara simpendi, Nina dharau, sijui nimepata msomi mwenzangu , Mara nimepata mwanachuo (naishi hostel) ! Nikamkaripia kidogo, akanijibu utanitambua!
Wakuu huyu anataka Nini ? Nimuoe ama ? Tumejuana hata miezi miwili haijafika, kwa haraka haraka sio wife material, Ni mtu anapenda command, pia anapenda umpe attention Sana !!! Nimempotezea jumla , na dukan kwake sinununi kitu Cha kula mfano maji , mkate ,karanga n.k ! Nanunua vitu Kama vocha sabuni tu , asije niwekea sumu ! Ana hasira za haraka Sana !!! Wanawake muache kung'ang'ania
Mm simjui mkuu na sio SuaDaah kumbe Yule bonge ni cha wote ?
By the way mi ni bodaboda mitaa hiyo
Nyama ziko chini mkuu, kula mtori kwanzaPicha ya matukio na huyo dada tafadhali.
Nakiri udhaifu huo mkuu !!!Ukame! Chief hakuna cha ukame! Ni kujiendekeza, usione tako limekatisha tayari umelitamani. Kiufupi ni kusema huna uvumilivu!!
Halikuwa swali, Ni Kama mshangao !! Hatuna miez miwili mtu anaongelea fyucha[emoji3][emoji3]ila dunia hii ina viazi jamani, unatuomba ruhusa sisi? tukikubalia umwoe utamwoa?
Mbona unanitisha chief ! Hawez nadhaniNani kakudanyanya uchawi haupiti kwenye kwenye sabuni? Huwa ukienda pale unapaa eti hukanyagi chini...dunia ina mambo hii
Rangi yake halisi ndo naiona ! Mwanzo Alikuwa very kindMwanzo umesema ni mpole na mtaratibu, mwisho ukasema anahasira za haraka. Aiseee
Wengi wetu tuna udhaifu huo! Jifunze kutokana na makosa na kosa kama hilo lisijirudie tena mkuu pindi ukifanikiwa kuchomoka 🙏🙏🙏Nakiri udhaifu huo mkuu !!!
😀😀naona Mara anajiongelesha mipango ya baadae