WANAWAKE kama WATOTO nao wana pipi zao.

WANAWAKE kama WATOTO nao wana pipi zao.

Dharau mbaya sana hii. Mi naweza kukulisha na mkeo na watoto wako na wategemezi wako hadi last moment.... nimesahau matukano yote ningekupa moja hapa...

Huwa nina uwezo pia wa kujilinda na matusi endapo nimeshambuliwa,borahujatukana.
HATA KAMA una uwezo wa kunifanyia lolote,zawadi yangu ndogo yaweza kuwa pipi kwako,unaongelea jeuri ya pesa!Wakati hujaipata ungeweza kuitia hata kidogo ukatoa mzigo,na kama ulishadanganyika kabla ya mafanikio wala haisaidii.Sikuongelea umasikini wa wanawake,with all your wealth lazima unayo pipi yako.
 
huwenda kwa sasa ndo ukaeleweka,ingawa binafsi nilikuelewa tangu post yako ulivyoibandika,
ni hayo tu
 
Back
Top Bottom