WANAWAKE kama WATOTO nao wana pipi zao.

WANAWAKE kama WATOTO nao wana pipi zao.

Mwenye akili huthamini utu wake kuliko kitu chochote, hapa namaanisha mwili na uhai.
-------- hupatikana kirahisi bali mwerevu hupambanua mambo.
 
watoto wanachukuliwa kuwa viumbe ambao akili yao haijakomaa,kwa hiyo wanadanyika kirahisi na pipi,chocolate,biscuits nk.
HATA wanawake wanadanyika pia kama wadanganyikavyo watoto kwa pipi,tofauti wao wanadanywa na vitu tofauti.
Mfano pipi za wanawake ni chips-kuku-mayai,bia,smartphones,gari nk.
ukiwapa moja ya vitu hivi basi wanakuwa kama watoto yaani unawapata kirahisi kweli.

Dharau mbaya sana hii. Mi naweza kukulisha na mkeo na watoto wako na wategemezi wako hadi last moment.... nimesahau matukano yote ningekupa moja hapa...
 
Back
Top Bottom