WANAWAKE kama WATOTO nao wana pipi zao.

WANAWAKE kama WATOTO nao wana pipi zao.

chips kuku hapana,nakula mda sio mrefu naenda chooni!!!!!!!!!

mshinga wewe unawapaga nini wanawake katika hivyo!!!!!!!!!!!!!!!

nasubiri uniambie unapagawa na nini kati ya hivyo alivyovitaja Mshinga nikununulie utulie ndani ndoa yetu idumu
 
nasubiri uniambie unapagawa na nini kati ya hivyo alivyovitaja Mshinga nikununulie utulie ndani ndoa yetu idumu

si kila siku nakuambia halafu haunui,we unaleta mbwembwe mbele za majirani

wakuone unanijali kumbe hamna lolote............,
 
Mhh mtoa mada sijui analipwa na nani, sijui anafanya kazi gani?uko likizo???yaani kutwa nzima unapost huku JF tuu......badae utasema nchi mbaya wakati huchukui fursa?????
 
watoto wanachukuliwa kuwa viumbe ambao akili yao haijakomaa,kwa hiyo wanadanyika kirahisi na pipi,chocolate,biscuits nk.
HATA wanawake wanadanyika pia kama wadanganyikavyo watoto kwa pipi,tofauti wao wanadanywa na vitu tofauti.
Mfano pipi za wanawake ni chips-kuku-mayai,bia,smartphones,gari nk.
ukiwapa moja ya vitu hivi basi wanakuwa kama watoto yaani unawapata kirahisi kweli.

Umeshawapata wangapi kwa stahili hii? unajua wanaume wengi huwa mnatongoza wanawake chini ya kiwango, basi ukiwapata ndio unakuja hapa kutamba. Wewe sema uliokutana nao ndio uliwapata kwa chips mayai. Wewe mwenyewe una vitz, gari ya kumpa demu umeipata wapi au unaongelea lift? Mbona moja kwa moja hizo zinajulikana ni hulka za wanafunzi!!!!!! badili title usiseme wanawake (general term), sema wanafunzi niliowatokea pipi yao ni.......
 
chips kuku hapana,nakula mda sio mrefu naenda chooni!!!!!!!!!mshinga wewe unawapaga nini wanawake katika hivyo!!!!!!!!!!!!!!!
Mimi huwa nafanya utafiti kwanza,mpaka niijue pipi ya yule ninaemtaka na kama nina uwezo nayo basi nampa na mambo yanaenda murua.
 
MADAME A:
umenichekesha eti wengi tunatangaza nia chini ya kiwango!!? TBS ya WATANGAZA NIA iko wapi?
 
Mhh mtoa mada sijui analipwa na nani, sijui anafanya kazi gani?uko likizo???yaani kutwa nzima unapost huku JF tuu......badae utasema nchi mbaya wakati huchukui fursa?????

answers reserved.
 
Ukimfahamu anachotaka na kisha ukafanikisha kumtekelezea, huenda hiyo ndiyo pipi tosha!
Unaweza kumpa hiki kumbe mwenzako anawaza kile, unampa mgegedo mwenzio anawaza prado, wewe umejikunja ukifikiri unaperform kumbe mwenzako hayupo kabisa, anausibiri umalize yeye alale!
Ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Mmh! Mwanamke makini hawezi kudanganywa na vitu vidogo kama hivyo!

1.wanadanyika na hivi vitu sana,na wanaitwa makini wakati hawajadanyika na siku wakidanyika hawataitwa makini tena
2.wengine ni shida tu
3.wengine ni tamaa na hao hata wale unaowaita makini wanadanganyika.
 
Back
Top Bottom