Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
watoto wanachukuliwa kuwa viumbe ambao akili yao haijakomaa,kwa hiyo wanadanyika kirahisi na pipi,chocolate,biscuits nk.
HATA wanawake wanadanyika pia kama wadanganyikavyo watoto kwa pipi,tofauti wao wanadanywa na vitu tofauti.
Mfano pipi za wanawake ni chips-kuku-mayai,bia,smartphones,gari nk.
ukiwapa moja ya vitu hivi basi wanakuwa kama watoto yaani unawapata kirahisi kweli.